teh teh teh,kuna hii minada ya arusha,si unajua hawa bibi wa vijijini,alikuwa akichagua mitumba huku ameinama,kumbe ndaniTeh ila km umewahi kuibiwa ukiona mwizi anatandikwa unaweza kummaliza kabisa aisee,Mi nishawahi ibiwa nkabakiziwa shilingi 100 ya Tanzania na gari limeharibika haliendelei na safari inabidi kulala Arusha, dah ni noma kaka.
Hahahahahaaaa bibi wa watu lazma atakuwa alichanganyikiwa ataongea takwenya *hadi asubuhi.teh teh teh,kuna hii minada ya arusha,si unajua hawa bibi wa vijijini,alikuwa akichagua mitumba huku ameinama,kumbe ndani
ya sketi yake kashona sanda za kuwekea hela,kwahiyo alivyoinama sketi ikaenda juu kwa nyuma mana ile sanda lina
vichenchi halafu lipo mbele,so mwizi akaona ile sanda linaning'inia,akachukua kisu chake na kuikamata ile sana kwa nyuma
halafu akaikata fasta kwa kisu then akakimbia,ile kichekesho kweli.
bonge la utabiqimganga akapotea kimazingara