Mwizi wa simu za mkononi akipata kichapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwizi wa simu za mkononi akipata kichapo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MWL MTZ, Nov 12, 2011.

 1. MWL MTZ

  MWL MTZ Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HUKU MTAANI KWETU TUMECHOSHWA NA WEZI WA SIMU, hii imetokea ja na trh 11/11/2011 morogoro kata ya kichangani mtaa area six ninja baada ya kijana mmoja anayesemekana ni mkazi wa kata ya kilakala mjini hapa baada ya kumpola mama moja simu yake ila wananchi walifanikiwa kumkamata na kumpa kichapo hevi kilichotokea sijui! picha izo hapooooooooooooooo
   
 2. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  pct wapi????
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  picha zimetoka vizuri sana!
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  izo picha bado unaziosha au?
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  unatoka ngelengele au alusha?
   
Loading...