Mwizi wa kuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwizi wa kuku

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Washawasha, Feb 8, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Kuna mwizi mmoja alibahatika kuiba kuku lkn kuna jamaa wawili walikuwa wakimshuhudia ktk pilika zake hizo za kuiba na kuanza kumkimbiza,lkn wao walikuwa wanamkimbiza kimya kimya bila kupiga kelele za kumwita mwizi,ndipo yule mwizi akajua kwamba hawa jamaa watakuwa sio watu wema kwanini hawapigi kelele za mwizi!
  Ndipo yule mwizi akaamua kumchinja yule kuku na damu kujipaka ktk shati lake na kumchukua yule kuku kumuweka kwenye tumbo lake na kumchomoa kisu kwa juu ili mtu akipita aone kana kwamba amepigwa kisu cha tumbo na kulala chali kama amekufa,ghafla wale jamaa wakatokea na kumkuta mwizi ana kisu tumboni na wao wakaanza kujadiliana
  JAMAA#1:hii ujue kesi,watu wametuona tunavyomkimbiza huyu mwizi?kwahiyo madhali amekufa ujue lazima cc ndio tutakaoenda jela sasa tufanyeje?
  JAMAA#2:Mimi naona tukamtupe baharini
  Basi yule mwizi kusikia akatupwe baharini akaamka na kuanza kuhamaki
  MWIZI:Mizee mengine ina roho mbaya kweli wewe kuiba kuku tu mnataka mkanitupe baharini,je ningeiba ng'ombe mngenifanya nini?
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ahahahahaaah!!! Kweli wana roho mbaya.
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  teh teh
   
 4. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ua kabisa
   
 5. M

  Mwombeki Member

  #5
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Janja ya nyani kula hindi bichi
   
 6. P I M

  P I M Senior Member

  #6
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
   
Loading...