Mwizi ni mwizi tuuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
halafu huyo jamaa mwenye singlend anafanana mno na yule mtesaji wa tevez south
 
Masogange ni mfanyabiashara pekee mkubwa asiye na mtaji
 
Huyu mpaka akirudi bongo atakuwa anavaa nepi i hope 0713 inachakazwa sana
 
Ndio maana mimi nakupenda flat skirini wangu always naishi bila presha.

kweli swr...hakuna competition hapa!!!ndo najiandaa hapa kwa ajili ya mtoko wa white party!!
 
Ndio maana mimi nakupenda flat skirini wangu always naishi bila presha.
Kibo10 naamimi uliyemwona sio charty original...! Piga picha ya miss Bantu basi huyo bibie hawaachani mbali
 
Last edited by a moderator:
kweli swr...hakuna competition hapa!!!ndo najiandaa hapa kwa ajili ya mtoko wa white party!!

Mimi ndio nipo mitaa ya Town natafuta nguo white soon nitakuwa home twende zetu tukashuudi mawingu meupe!
 
Mimi ndio nipo mitaa ya Town natafuta nguo white soon nitakuwa home twende zetu tukashuudi mawingu meupe!

hahahah darling haterz watakufwaaa leo!!!!! hii si ya kukosa...:bange:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…