Mwizi mwizi tu hata kama anatembelea magongo, atatetea mfumo wa kifisadi uliomtajirisha!

helcopta kibao igunga wakati meli ya zanzibar imezama hadi chini hakuna msaaada wowote ..wanasiasa bana(ccm)
 
Nampa heshima yake kimtindo,aliiba kilichozidi,alisimamisha uchumi wetu kimtindo,sukari kipindi chake haikuwa issue ya kuumiza kichwa watu,big up ben,alikuwa na maamuzi magumu aliyasimamia,samehe 7*70
 
Nakumbuka matusi yake pale Jangwani. Mwizi aliyebobea huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…