Mwizi katoa kali mahakamani leo

Mwizi katoa kali mahakamani leo

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
Mwizi mmja alisomewa staka la wizi wa simu mahakamani leo, hakimu akampa nafasi mtuhumiwa ajitetee na alijitetea kama hiv. Mwizi;~nilikuwa napita barabarani nikaona cm chini ikiimba ?nibebe nibebe nibebe nibebe nichukue mikononi mwako niwe salamaaa!``. basi na mimi nikaibebe.**chungeni sana ringtone za cm zenu.**
 
Ningekuwa hakimu namuanza na viboko sita ndo tunaendelea na hukumu
 
Mwizi mmja alisomewa staka la wizi wa simu mahakamani leo, hakimu akampa nafasi mtuhumiwa ajitetee na alijitetea kama hiv. Mwizi;~nilikuwa napita barabarani nikaona cm chini ikiimba ?nibebe nibebe nibebe nibebe nichukue mikononi mwako niwe salamaaa!``. basi na mimi nikaibebe.**chungeni sana ringtone za cm zenu.**

an oldie
 
Kama ingekuwa mi hakimu ningemwachia huru.yaelekea hakuiba bali aliokota.
 
sasa kaiba au kaokota? jipange bro ueleweke kama vp soma za wenzio huna fan
 
Baada na mech kat ya man na chelsea nlfika home nikakuta uji mix ya maziwa mgando na uwele vigum kuamin mtam big up kwa mrs.big dad
 
Mwizi mmja alisomewa staka la wizi wa simu mahakamani leo, hakimu akampa nafasi mtuhumiwa ajitetee na alijitetea kama hiv. Mwizi;~nilikuwa napita barabarani nikaona cm chini ikiimba ?nibebe nibebe nibebe nibebe nichukue mikononi mwako niwe salamaaa!``. basi na mimi nikaibebe.**chungeni sana ringtone za cm zenu.**

hizo zilipendwa.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom