wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,590
- 29,493
Katika hali ya kushangaza mwizi mmoja alienda kuiba mbuzi kwa jirani yake usiku!!alipomchukua yule ma kwenda naye kwake!!yule mwizi alimfunga yule mbuzi mlangoni kwake yeye akaenda kulala!!!ilipofika asubuhi wale wenye mbuzi wakafuata mbuzi wao kule kwa yule mwizi!!!
Wale!!!hodiiiiii!!
Mwizi!!!nani nyie!!!!
Wale!!!tumekuja kufuata mbuzi wetu!
Mwizi!!kwani hapo nje hayupo??
Wale!! Yupo!!
Mwizi!! Sasa si mumfungue muende nae mmeniamshia nini sasa!!!kwani mimi nilipokuja kuwaibia niliwaamsha???[emoji23] [emoji23] [emoji23]