Mwizi alie uliwa kwa hasira za wananchi baada ya kukamatwa na mali ya wizi ( mageti)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,465
33,399
Tazama picha za Mwizi alie uliwa kwa hasira za wananchi baada ya kukamatwa na mali ya wizi ( mageti) maeneo ya Majengo wilayani kahama.

Huu sio Ubinadamu na wala Sio Uungwana Kama kweli munapenda kuwauwa wezi kawauweni basi Mafisadi.
 
Mkuu hawa jamaa acha wauawe wakikuwahi hawakuachi hata kidogo, lazima wanakuua na wakipelekwa polisi asubuhi wako mitaani wanatamba na ikiwezekana wanakufanyizia, wakipelekwa mahakamani wanashinda kesi ushahidi haujatosheleza, kilichobaki ni hicho tu mkuu bora kuwe na ushahidi kama huyu hayati hapo juu.
 
tatizo mkiwa peleka polisi mnawabwaga mnaondoka ss atayewashitaki ni nani kama wananchi walio shuhudia akiiba ndo maana polisi uhamua kuwaacha wanaendelee na maisha yao.
 
Barasu uwe na ndugu mwizi si bora afe tu?
_miaka ya 80 kuna mtoto wa baba mdogo alikuwa mwizi akiiba hata mali za baba yake na majirani ikiwemo kwetu aliiba cherehani
_alikuja kuuawa na majambazi wenzake kwa laana ya baba yake na wazizi wake walifurahi sana kufa
 
Last edited by a moderator:
hii dinia ni ya ajab kweli wezi wa mali za uma wanalindwa nakutetewa na wezi wa kuku wanasekwa ndani na kuuliwa. ewe mungu nipe umri mrefu nione mengi ya dunnia hii.
 
huu ni ukatili tu....mnamuua binadamu mwenzenu kisa kaiba machuma hayo au kisimu cha 100,000!!!!
 
Kwa kweli kitendo cha kuua watu namna hii ni ushetani uliokithiri.

Kijana wa watu anaonekana maisha magumu kwa sababu serikali lya ccm imeshindwa kuboresha maisha ya watanzania.

Laiti kama mngeanza kuwaua viongozi majizi ya ccm yanayoiba kwa kiburi huku watu wakiona, na kupeleka raslimali zetu nje ya nchi, huku yakiongea uwongo kuwahadaa watanzania wanakufa bila kujitambua, ningesema ni vita vya ukombozi.

Mafisadi madharimu na ma viongozi yanayong'ang'ani uongozi kwa gharama ya damu zetu, mnayaacha wakati mko nayo katika jamii zenu. Mengine yakija mnaacha kufanya kazi na kukusanyika kuyapigia makofi pindi yanapowaambia kufa kwa kukkosa huduma ni haki yenu watanzania, halafu mnaua vijana wanaohangaika kiasi cha kudokoa katika kuhangaika na maisha.

Huu ni ushetani na wehu uiokithiri sana.
 
Kila mmoja afanye kwenye eneo lake ndio maana kule tunawatuma wabunge wakishindwa wakishindwa tutawaonyesha
 
Kwa kweli kitendo cha kuua watu namna hii ni ushetani uliokithiri.

Kijana wa watu anaonekana maisha magumu kwa sababu serikali lya ccm imeshindwa kuboresha maisha ya watanzania.

Laiti kama mngeanza kuwaua viongozi majizi ya ccm yanayoiba kwa kiburi huku watu wakiona, na kupeleka raslimali zetu nje ya nchi, huku yakiongea uwongo kuwahadaa watanzania wanakufa bila kujitambua, ningesema ni vita vya ukombozi.

Mafisadi madharimu na ma viongozi yanayong'ang'ani uongozi kwa gharama ya damu zetu, mnayaacha wakati mko nayo katika jamii zenu. Mengine yakija mnaacha kufanya kazi na kukusanyika kuyapigia makofi pindi yanapowaambia kufa kwa kukkosa huduma ni haki yenu watanzania, halafu mnaua vijana wanaohangaika kiasi cha kudokoa katika kuhangaika na maisha.

Huu ni ushetani na wehu uiokithiri sana.

Mkuu Tabby haya majambawazi bila kufanyia hivyo hayakomi. Hivi unajua wakikukuta kwenye anga zao wanakufanyaje? Je unajua kuwa ukipeleka polisi kesho yake wanakula bata kiulaini? " Tunarudishana nyuma kwa mambo ya kuibiana....."20 percent.
 
Ni kweli kiongozi. Hata mimi sitetei kabisa wizi. Inahitaji uthibitisho usio na shaka kutoa hukumu kwa mtu mwenye pumzi ya Mungu. Ni jambo lenye gharama kubwa kumsonenesha binadamu pasipo haki. Katiba ya nchi imebainisha makosa yanayoweza kupelekea hukumu za kifo. Siyo kila kosa la kisheria hukumu yake ni kifo na ndiyo maana kuna vitengo husika.

Kumhukumu mtu kifo kwa kumkuta na vitu vilivyoibwa, bila kujua hata uhusika wake katika hilo richa ya kwamba kifo si hukumu ya wezi, huku jamii ikiwaacha majizi wakubwa akina ccm wanaohatarisha maisha yetu na kutusababishia majanga yakitafa, si haki na ni uonevu.

Ni chukizo mbele za Mungu.

Haki huleta upendo.

Mkuu Tabby haya majambawazi bila kufanyia hivyo hayakomi. Hivi unajua wakikukuta kwenye anga zao wanakufanyaje? Je unajua kuwa ukipeleka polisi kesho yake wanakula bata kiulaini? " Tunarudishana nyuma kwa mambo ya kuibiana....."20 percent.
 
Wezi wa EScrow wanapeta tu

Hawa wauwawe

  1. Dr Chenge
  2. Prof Tibaijuka
  3. Prof Muongo
  4. Maswi
  5. Werema
Hao wenye hasira wahamie kwa watajwa hapo juu
 
Back
Top Bottom