Mwita25 njeeeeee

Mwita25

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
3,831
Reaction score
1,173
Jamaa amekula ban nyingine ndani ya wiki moja. Saaaaaafi saaaaaanaaaaaa
 
Sasa unafurahia nini?
Alikuwa anakuoutclass sana?
 
Pole mwita25. We miss you!
 
Ukizidiwa uwezo chuki inakutawala.
OTIS.
 
Bora ili jamaa limefungiwa,si lilikua na birthday juz tu mara hii limeweka pumba zake.
 
apumzike kidogo akirudi labda atakuwa anajielewa.si mnamuona hata malaria sugu siku hizi malaria inaanza kupona
 
simpendi mwita ila sipendi hii tabia ya baadhi ya member kushadadia ban ya mtu fulani....
 
simpendi mwita ila sipendi hii tabia ya baadhi ya member kushadadia ban ya mtu fulani....

Unajichanganya mwenyewe oooh simpendi ooh sipendi tabia ya baadhi ya member!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…