Msolopagaz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 461
- 212
Kuna kipindi nlikuwa mpaka nalia kwa ufisadi unaoendelea hapa nchini.Upinzani nlikuwa nawaombea maisha marefu na utashi mwingi kwavile walikuwa ndo watetez wetu.Ila nnatabia moja mbaya sana,yaani njano kuuita nyeusi siwezagi.
Kwahili namaanisha kwamba..kama chama tawala kuna watendaji wazuri sina hiyana kuwatambua kama mashujaa wetu kama ilivo kwa upinzani.
Kati ya watu walonionesha kwamba yaliyoshindikana kwako si kwamba kwangu yanashindikana ni Prof.MUHONGO.Wizara ile aliikuta imeshajichokea ila akataka kutuonesha kwamba yanawezana na mwishowe umeme kwa sasa unaweka kama vocha(kikubwa hela yako tofaut na zaman pesa unayo na bado unazungushwa).
Hivi kilichomtoa Muhongo ni nini?Kwasababu huku nliko ile siku alotangaza kujiuzulu hata wale walokuwa wana ari yakutaka afukuzwe walinyong'oa.Wengi wakisema dah,ila jamaa jembe.Sasa kusononeka kwa nini?
Baadhi ya viongozi wa upinzani nao ni hivyo hivyo ukichunguza maoni walotoa. Baada ya BRAZAMENI kuteua mawaziri wengine KATUMBILI kanasimama nakusema yule wa nishati na madibi ni mzigo..what the hell.
Nilikuwa sijui sasa nimejua.Siasa za kubongo ni Unafki mtupu.Kwa kugundua hili SITAUMIA tena nikisikia ufisadi umefanyika kwasababu hata wale wanaojaribu kuwa very responsible ili tuwe na ahuweni kama nchi,upinzani hawataki kuwasikia.
Na huyu BRAZAMENI wetu kawaendekeza upinzani mpaka hata mamluki wameona wanaweza kuwatumia na kufanikisha mambo yao.
Eeeee mungu JALIA wizara ya nishati na madini pamoja na wizara ya uchukuzi pafanyike Maufisadi ambayo hajawah kutokea kwan nchi hii si washika nchi wala wapinzani ambao ni wazalendo wa kweli.Mungu mimi nshatua MZIGO WA UZALENDO,sitaumia tena.
Kuumia kwangu kwa mwisho ilikuwa ni kujiuzulu kwa Muhongo bas.Eee mungu niitikie maombi yangu.Na wewe BRAZAMENI unaewadekeza upinzani mpaka wanaweza yasiyowezekana.Umefanya nkamuamini Jembe MNYIKA kwamba WEWE ni DHAIFU sana.