Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
WANAWAKE SASA WAMEFIKA
MWISHO coz mwanaume
akiitwa DANIEL utasikia
mwanamke eti ye ni DANIELLA
mwanaume akiitwa MAXWEL
utasikia mwanamke eti ye ni
MAXWELLA mwanaume akiitwa
EMANUEL utasikia mwanamke
eti ye ni EMANUELLA sasa
mwanaume akiitwa EBO
mwanamke atajiita je?😄😄😄
Hahahaaas bora tuitwe ebola mukae mbali na sisi
Hatutakaa mbali hata siku moja inzi kufia kwenye kidonda ni ujasiri
Hahahahah ww umetisha Red Scorpion mwanamke ataitwa EBOLLA
Hahahaaas bora tuitwe ebola mukae mbali na sisi
WANAWAKE SASA WAMEFIKA
MWISHO coz mwanaume
akiitwa DANIEL utasikia
mwanamke eti ye ni DANIELLA
mwanaume akiitwa MAXWEL
utasikia mwanamke eti ye ni
MAXWELLA mwanaume akiitwa
EMANUEL utasikia mwanamke
eti ye ni EMANUELLA sasa
mwanaume akiitwa EBO
mwanamke atajiita je?😄😄😄
WANAWAKE SASA WAMEFIKA
MWISHO coz mwanaume
akiitwa DANIEL utasikia
mwanamke eti ye ni DANIELLA
mwanaume akiitwa MAXWEL
utasikia mwanamke eti ye ni
MAXWELLA mwanaume akiitwa
EMANUEL utasikia mwanamke
eti ye ni EMANUELLA sasa
mwanaume akiitwa EBO
mwanamke atajiita je?