Kaka Paskali, nakusalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano..!!
Mara ya mwisho Nape Nnauye kuonekana humu ilikuwa lini? Maana hili kaburi ulilolifufua ni mwaka 2013..!! Almost miaka 9 iliyopita

Nahisi ndani ya vile vikao vyao, jf hauzungumzwi vizuri, hivyo hawa wana jf wenye verifed names, once on board, humu jf wanakuwa kimya, mfano mzuri ni jinsi Dr. Kigwa alivyokuwa active kabla ya kuitwa meza kuu!. Baada ya kuitwa meza kuu, jf, kwaheri!.
P

Hii ina ukweli kwa asilimia kubwa tu..! Nakumbuka, kipindi cha pili cha urais wa JK, alichaguliwa kwa kura chini ya zile za kipindi cha kwanza. Pius Msekwa wakati anataja sababu za kushuka kwa kura kipindi cha pili cha JK, JF ILITAJWA KAMA SABABU MOJAWAPO..!! Kwa mantiki hiyo, kiongozi kushiriki kwenye chombo kilichochusha kura za urais kwa chama tawala, lazima wakutolee macho..!!