Mkuu bila shaka una yako na Mengi hivi unafikiri hizo tv zake unaangalia peke yako... Nimeangalia hizo tv zake jana na leo ikiwemo itv wameonesha habari nyingi kuhusu Mh Magufuli na kuapishwa leo na tena zilikuwa za kwanza na haitoshi waliweka kipindi maalum kuhusu Magufuli...hebu acha uongo na uchochezi alafu watu waseme ni mwana CCM...!
Teh teh kweli magamba hakuna akilikweli kabisa vyombo vya habari vya IPP vinaelemea upande mmoja tu wanatakiwa wajifunze uadilifu wa kutobagua kama wenzao TBC na STAR TV wanavyofanya
Huruma. Sema alitakuwa kuwa neutral tu.Mlitaka afanye vyombo vyake kama dialo?
Hata huyo Makoful ana akili na ataongozwa na weledi kwa kuwa mengi alikuwa fair.
Hata kama hawakuonesha pale lakini kwenye kurasa walionesha! Uliangalia itv habari jana?Uliangalia kipindi cha saa kumi na mbili jioni pale EATV jana?
Teh teh kweli magamba hakuna akili
We dada una matatizo sana?Uliangalia kipindi cha saa kumi na mbili jioni pale EATV jana?
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.
Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.
Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.
HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.
Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!
Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.

kosa lake haku declare interest kwamba yy ni mwanachama wa ukawa, ITV ilitumika kuhujumu CCM kwa kuipendelea chadema na kufanya proganda za chadema kuiangamiza ccm. Hiyo mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hilo.
Dialo yeye hana kosa maana anajulikana ni mwana CCM na ni mwenyekiti wa mkoa wa CCM.
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.
Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!
Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.
mpuuzi ww ulitaka itv iwe kama tbc au radio uhuru?