Mwisho wa unafiki wa Mengi!

Mwisho wa unafiki wa Mengi!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,535
Reaction score
31,199
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.

Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.

HATA KAMA NI VIPOFU NITAWAONESHA TU!
 
Uwe na akiba ya maneno hakuna adui wa kudum wala rfk wa milele muache mzee wawatu huna nidham
 
Akiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.

Vyombo vya habari vya Mengi baada ya kuona lowassa kashindwa vikataka kuonesha nchi ina machafuko...
 
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.

Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.

Hoja zako zinalingana na ID yako
 
Akiba ya maneno ipo...lakini ukweli mchungu lazima usemwe.

Vyombo vya habari vya Mengi baada ya kuona lowassa kashindwa vikataka kuonesha nchi ina machafuko...

Too low
 
Mlitaka afanye vyombo vyake kama dialo?

Hata huyo Makoful ana akili na ataongozwa na weledi kwa kuwa mengi alikuwa fair.
Mengi hakuwa fair alikuwa ni purely Team lowassa ...mbaya zaidi hadi leo anaonesha kutoridhishwa na matokeo na anatumia media kuonesha Tanzania kuna vurugu.

Nimeangalia EATV jana kati ya habari zaje muhimu kitaifa eti kuapishwa rais haikuwepo!!

Mzee mnafiki sana na kama alizoea kukwepa kodi mwisho wa hilo ni leo.
 
kosa lake haku declare interest kwamba yy ni mwanachama wa ukawa, ITV ilitumika kuhujumu CCM kwa kuipendelea chadema na kufanya proganda za chadema kuiangamiza ccm. Hiyo mtu yeyote mwenye akili timamu anajua hilo.
Dialo yeye hana kosa maana anajulikana ni mwana CCM na ni mwenyekiti wa mkoa wa CCM.

sijaona kosa la mengi kamwe...
 
Mzee huyu kwa miaka mingi aliweza kuchanga karata zake vizuri kwa kuuma na kupuliza lakini mwaka huu baada ya kuuma amebanwa pumzi na hivyo basi anashindwa kupuliza.

Hili ni funzo kubwa sana kwa wote wanaoishi kwa unafiki.

Pole sana kwa Mengi kwani mwisho wa unafiki ni mwaka huu...uliyemkataa kuwa rais wa JMT ndio anaapishwa leo.

ENDAPO UKAWA WASINGE IBIWA KURA ZAO NA KUSHINDA,STARTV UNGELIWAITA WANAFIKI?
KWELI WEWE NI #jingalao
 
Mlitaka afanye kampeni na aache kuhabarisha Watanzania kuhusu kinachoendelea kama yule Pimbi wa Mwanza?!

Mwaka huu Mengi alishindwa na cloudstv
 
Acha fikra mgando wewe unafiki wa Mengi upo wapi sasa? Ujinga tu unautengeneza bila sababu
 
Back
Top Bottom