Surgical Blade
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 349
- 16
kaangalie concept ya nokia ya bendable phone. una operate simu kwa kubend tu nenda youtube ukaone.
kaka kwahyo,
hzo bendable,
czani kama itachukua sehemu, kubwa sana ya simu nzima kama ilivyo Touch screen,
nikiwa na maana itatuwia Vigumu sana ku #write SMS #KU-SURF google, kama ilivyo Hz #touch , halafu #bendable nahc hata hawa #mchna wakawaida kabisa wamefanya hyo k2 kwenye #Multmedia audio player
una #prev na #Next kwa ku bend na Kushake!
Mkuu
maabara kubwa ya nokia ipo china hao wote ni ex nokian ndo wanafanya hivyo angalia betry za kichina, vioo, hadi rom za simu zinafanana na nokia
ndio maana simu kama tecno ni almost Nokia si ndio?@Chief Mkwawa
sasa hivi kuna kinect ya microsoft ikitumiwa vizuri itakuja kua ndio future ya dunia.
kwenye xbox ipo hivi kinect
moja kati ya maajabu yake ni haya.
1. kutambua sauti za watu wawili tofauti
wakati technolojia kama siri na google now almaarufu kama personal assistance zinatambua sauti moja tu haziwezi tofautisha huyu nani na kama zinatofautisha zinasema ndio au hapana, yenyewe kinect inajua sauti mfano kwenye nyumba inajua huyu ni baba na huyu ni mama. hii ni future.
2. kutafsiri walemavu wa maskio
tunajua kua walemavu wa maskio hawaskii na sababu hio inawafanya wawe hawana uwezo wa kuongea. ila kinect ikafanya maajabu tena kwa kubadilisha ishara za walemavu wa maskio kuja sauti hivyo unaweza kuongea nao kama watu wa kawaida wasio walemavu
3. kufanya kitu chochote kua touch screen. niliwah andika hii ishu kuhusu maajabu ya hiki kifaa kinauwezo wa kubadili hata meza ikawa kioo cha kugusa. kama mnakumbuka ile concept ya apple ya kutype kwenye meza ya kioo.
tatizo la kinect ni kubwa ila siku microsoft wakiieka umbo dogo na kukaa kwenye simu tegemea mapinduz mengine
chief-mkwawa uko njema sana kwa hili jukwaa na umejijengea heshima ya juu sana.
Ni mategemeo yangu kuwa utabaki kuwa silaha ya mwisho ya msaada kwa nyanja zote za teknolojia zinazohusiana na jukwaa hili.
Nakushauri chimbua sana na fight kuwa current na gadgets muda wote, just as you do.
Keep it up!
Ni sawa tu mkuu. Nisome taratibu sentensi yangu ya kwanza. Halafu soma maneno tisa ya mwisho. Kama hujanielewa au sijaeleweka, usipate taabu, nipotezee tu!kaka ukii soma,
vizuri head of thx thread Ni imebase, katika simu, hatukatai kutokuwepo kwa ujio mpya wa Mawasiliano, ila kikubwa ni #SIMU
Ni sawa tu mkuu. Nisome taratibu sentensi yangu ya kwanza. Halafu soma maneno tisa ya mwisho. Kama hujanielewa au sijaeleweka, usipate taabu, nipotezee tu!