Mwisho Wa ubabe mtaani

Mwisho Wa ubabe mtaani

Unajua mkuu hata mm nimecheza karate lakn Mara nyingi sana huwa tunapigwa kutokana na kushindwa kuangalia mazingira ya kuapply huo mchezo..

Na hakuna kitu kinachosumbua kupigana na mtu ambaye hajui chochote juu ya mchezo huo
na ndio tatizo la watu wengi utakuta mtu kacheza zake kick boxer,karate kung fu badala ya kupigana na wana mazoezi wenzake au vibaka yeye anataka kuleta ugomvi mtaani,matokeo yake ndio hayo wanapata aibu ya bure
 
Steve 2k kisu chake mwenyewe ndio iliomuua
Kitendo cha kupigana na mtu mmoja mwenye kisu ni tofauti na kupigana na kundi la watu wenye siraha ..
Bwana mdogo story za vijiwen na movie za kichina zitakuta kukupoteza
 
Hahahaaaa nimemkumbuka Massawe alikuwa anawazingua madereva wake anakutolea bastola unakuwa mpole anaanza kukupiga makofi anakuambia na kesho hesabu ipelee kinu cha mawe nitakumwaga ubongo mwisho wa siku akapambana na msukuma ile anatoa bastola alikutana na teke la shingo chali bastola kule akazimia wakaanza kumpepea akazinduka anauliza yule msukuma mfungeni kamba nimumwage ubongo ameniumiza shingo kwa mali yangu
 
Mimi nina chakwangu mwaka wa sita sasa kazi kukiosha tu na ku renew vibali
 
kila mtu akiwa nayo itakuwa safi sana
 
Mkuu Martial arts unaisikia au unaambiwa tu?!!!
Labda Mshale unaweza kuwa na nafasi ya kufanya jambo mbele ya Martial arts, lakini nna uhakika wa 100% Panga hakuna linaloweza kufanya mbele ya mtu aliyeiva kwenye Martial arts.
Huo mchezo usikie hivyo hivyo.
Muvi za kina jet Lee na Donnie yen zinakudanganya mkuu
 
Hiyo kitu ya muhimu sana
Polisi mwenyewe ukimuwahi tu anatulia wengine hujikojolea

Kwenye movie tu ndio watu wanaleta ubabe kwa wenye bunduki
 
Back
Top Bottom