Mwisho Wa ubabe mtaani

Mwisho Wa ubabe mtaani

Mgirik

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
13,286
Reaction score
13,460
Kama ww unajiona hauko vzr kwa mkono hasa wanaume Wa dsm ambao wanamkimbia panyaroad mmoja nawashauri kuweni na hii kitu
1475399047783.jpg
 
Mazoezi ya self defence ni muhimu Sana,nimeisikiliza maelezo ya jamaa aliyepasuliwa macho na kupigwa visu mwilini aiseee,yaani jamaa anampiga visu mgongoni,tumboni yeye anapiga kelele tu,watu nao wanaangalia tu...jamaa sasa kipofu....inasikitisha.
 
usiue kwa risasi kwa ugomvi mdogo otherwise ni uvamizi wa silaha..mkono tupu ndio silaha yako mhimu uliyopewa na mama yako alipokuzaa, jifunze martial arts...mengi utayasolve kwa gharama ndogo sana.
 
Mkuu hizo martial art sio wote na hata kwavijana Wa DSM ambao kazi yao kuzunguka Maduka ya vipodozi ya kulainisha viungo wala hawataki Mkono uwe mkakamavu..

Kitu kingne mkuu hivi umewahi kuwekwa mtu kati na panga au mshale? Nenda kwa msukuma mnyantuzu uone au mkaguru uone kama martial art inafanya kazi
 
Kwanza kwann unichokoze? Ukijichanganya mm nakumwaga ubongo nianze kupigana ngumi kwan nipo kwenye pambano???
 
utajikuta unaingia hatian kwenye jambo ambalo ungemtuliza mpinzani kwa mikono mitupu.
 
Mkuu hizo martial art sio wote na hata kwavijana Wa DSM ambao kazi yao kuzunguka Maduka ya vipodozi ya kulainisha viungo wala hawataki Mkono uwe mkakamavu..

Kitu kingne mkuu hivi umewahi kuwekwa mtu kati na panga au mshale? Nenda kwa msukuma mnyantuzu uone au mkaguru uone kama martial art inafanya kazi

Mkuu Martial arts unaisikia au unaambiwa tu?!!!
Labda Mshale unaweza kuwa na nafasi ya kufanya jambo mbele ya Martial arts, lakini nna uhakika wa 100% Panga hakuna linaloweza kufanya mbele ya mtu aliyeiva kwenye Martial arts.
Huo mchezo usikie hivyo hivyo.
 
Kabla ya yote tuanze na ww vp unaupatia huo mchezo?
 
Wengi wanazo.ila ujasiri wa kumtandika nayo mtu ndio shida.

Hiyo kitu ikiwa inafanya kazi kwenye mwili wa mtu haitamanishi kuona.

Ndio maana unashauriwa ujifunze hata nmna ya kurusha teke.
 
hizo ni story za kwenye movie tu,me ata mtoto wa miaka 4 akinitishia lazima nimuamkie kwanza
mkuu kuna watu ni wepesi kinoma kabla hujaitoa ushapigwa ngwala upo chini unaona nyotanyota mbaya iwe tayari mkononi hapo ndo ujanja ulonao lkn ipo kiunoni ha ha ha kuna watu wanajua kutumia a chance even a one second very faster like light...!!
 
Wengi wanazo.ila ujasiri wa kumtandika nayo mtu ndio shida.

Hiyo kitu ikiwa inafanya kazi kwenye mwili wa mtu haitamanishi kuona.

Ndio maana unashauriwa ujifunze hata nmna ya kurusha teke.
Hii kitu kama hujawahi kukumbana na dhahama ya hatar huwezi kuitumia lakn endapo uliweza kukipata cha moto hutasita kumimina
 
Mkuu Martial arts unaisikia au unaambiwa tu?!!!
Labda Mshale unaweza kuwa na nafasi ya kufanya jambo mbele ya Martial arts, lakini nna uhakika wa 100% Panga hakuna linaloweza kufanya mbele ya mtu aliyeiva kwenye Martial arts.
Huo mchezo usikie hivyo hivyo.
kipindi ni sec kuna jamaa mtaani alikuwa anapiga karate mfano hakuna,kuna siku alinipiga sana mbele ya umati wa watu mpaka akanivunja kidole nikasema baridi haina noma.
Nikauguza kidole nikapona kwa vile sijui kupigana nikawa naweka mawe kwenye begi na nondo nimeichonga nikawa namtafuta jamaa,kila nikimuona akianzisha karate zake' me naweka beg chini natoa mawe mkono wa kushoto nondo,jamaa alikuwa ananikimbia kila akiniona.
Nilikuwa namtafuta usiku na mchana nimpasue ikafikia hatua alikuwa halali kwake akaamua kuhama kabisa mtaani.
 
Unaweza ukawa na hiyo na ukaitupa ukakimbia!tena mtu ana panga tu
 
kipindi ni sec kuna jamaa mtaani alikuwa anapiga karate mfano hakuna,kuna siku alinipiga sana mbele ya umati wa watu mpaka akanivunja kidole nikasema baridi haina noma.
Nikauguza kidole nikapona kwa vile sijui kupigana nikawa naweka mawe kwenye begi na nondo nimeichonga nikawa namtafuta jamaa,kila nikimuona akianzisha karate zake' me naweka beg chini natoa mawe mkono wa kushoto nondo,jamaa alikuwa ananikimbia kila akiniona.
Nilikuwa namtafuta usiku na mchana nimpasue ikafikia hatua alikuwa halali kwake akaamua kuhama kabisa mtaani.
Unajua mkuu hata mm nimecheza karate lakn Mara nyingi sana huwa tunapigwa kutokana na kushindwa kuangalia mazingira ya kuapply huo mchezo..

Na hakuna kitu kinachosumbua kupigana na mtu ambaye hajui chochote juu ya mchezo huo
 
Back
Top Bottom