Mwisho wa mwaka huooo.........

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
31,244
31,354
Hebu kusanya salary slip zako zote za mwaka huu na ujumlishe NET pay yako halafu jiulize upo katika kundi gani kati ya hawa....
1. Watumiaji wa hela vibaya kwa vile tu hakuna wa kukuuliza..... AU kama wa kukuuliza yupo na hakuulizi kwa vile anakuogopa...........
2. Wasaidia sana ndugu na jamaa huku wewe na familia yako mkiwa kwenye dhiki kuu na hujui sababu kwa nini upo kwenye dhiki ya aina hiyo wakati slip yako haikubaliani na hali yako .............
3. Mapato yako ni siri kwa wengine na hakuna alama ya kuonyesha una kipato kinachoonekana kwenye slip yako........................
4. Mapato yako naulivyonavyo viko proportiuonal........................
5.....................etc...................

NB: NAJUWA WENGINE JUMLA YA HELA ILIYOPO KWENYE SLIP INAWEZA IKASABABISHA MJIUWE BAADA YA KULINGANISHA NA MLIVYONANVYO NA VILE MLIVYOVIFANYA NDANI YA MWAKA HUU...........
 
Back
Top Bottom