Umefika mwisho wake huwezi kubishana na Marekani ukabaki salamaSiungi mkono ushoga! Lakini kama ataondoka mamlakani ni sawa kwa msimamo wake!,, Pia itakuwa wamebadili mfumo wa utawala wa Uganda! Imagine mi nimezaliwa, hadi Leo nimezaa huyu mzee anaitawala Uganda!
Uganda inanuka umasikini kwasababu ya huyu mzee hebu wamuondoe haraka banaHata kama isingekuwa kwa swala la ushoga,huyu jamaa ilibidi achomolewe madarakani zamani sana,ameiharibu sana nchi,amefanya nchi kama duka la mangi!family business
Hata akingolewa poa tu yupo madarakani miaka 40Endelea kubishana lakini tambua kuwa Museveni atang'olewa madarakani kwa aibu kubwa yeye nikama kuku mbele ya mabeberu
Marekani wana akili kubwa sana ya kufanya jambo. Sio kila raisi watamuondoa kwa vita. Afrika sisi mbele ya mabeberu ni sawa na kukuNdio ataondoka ila kwa msimamo wa vizazi vya uganda na usijidanganye marekani ataleta vita na machafuko uganda kilicho muondoa late ceo ndio kitakacho muondoa museveni tukiwa wa moja na misimamo Africa hawawez kuondoa marais zaid ya 50 wanaowapinga Zaid wata pandikiza puppet maisha yaende
USA hana maslai pale sana sana ata mwaangalia tuNi dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa raisi wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani kwa nguvu ili wenye Demokrasia watawale.
Mgogoro wa Museveni na Marekani utamuondoa madarakani kama Gaddaf au Saadam Hussein.
Raisi wa Afrika hana uwezo wa kupambana na mabeberu kwao anaonekana kama takataka halingani na mabeberu hata theluthi moja. Museveni kwenye macho ya mabeberu ni sawa na kuku hivyo basi atachapwa kama mtoto.
Sema kuingia kwenye mgogoro na na Chama cha Democratic siyo Marekani, wakiingia Republican mahusiano yanarudi kama kawa.Ni dhahiri kuwa mwisho wa Museveni kutawala Uganda umefika. Hii ni baada ya Museveni kuingia kwenye mgogoro mkali sana na Marekani kuhusiana na sakata la LGBTQ.
Ukweli ni kuwa unapokuwa raisi wa Afrika na ukawa na mgogoro na Marekani lazima wakung'oe madarakani kwa nguvu ili wenye Demokrasia watawale.
Mgogoro wa Museveni na Marekani utamuondoa madarakani kama Gaddaf au Saadam Hussein.
Raisi wa Afrika hana uwezo wa kupambana na mabeberu kwao anaonekana kama takataka halingani na mabeberu hata theluthi moja. Museveni kwenye macho ya mabeberu ni sawa na kuku hivyo basi atachapwa kama mtoto.
Onyo alilopewa na Shirika la haki za binadamu amekiuka kwahiyo ategemee malipo ya kiburi chake kama walivyokuwa watangulizi wake Gaddaf, Saadam Hussein, Idd Amin na Msukuma
Point yangu sio ushoga bali ni kiburi cha Museven anapopewa onyo na mabeberu. Tangu lini chura akapigana na simba? Umeona wapi? Raisi wa Afrika kiburi cha kupambana na Mabeberu unakipata wapi kama hutakuwa mjinga?Baada ya hili bandiko ndio nimekusoma, kumbe shida yako sio Museveni au Marekani, ajenda ya ni tuukubali huo uchafu kisa ulikuwepo kitambo, sasa nasemaje!! Uganda wamekataa ushoga ikikuuma kalilie chooni.
Kwa sasa Uganda hata fununu za ushoga zinakutia matatani, mnapaswa mpigwe sana nyie watu, huo ujinga wenu msiulazimishe.