Mwisho wa mapenzi


waooooo..very wise words,nmekupenda bureeeee!
 
Mapenzi ya Bongo bwana ni kama umeme wa Tanesco, hukatika anytime.

Ndo maana watu wanaweka majenereta just incase ukatike.
hahahahaaaa majenereta ......!!!
 
TEMBEA NA SPEAR TYRE YA AKIBA ikipasuka tumia ile hata kama ni mchina or imezeeka ....
Lzima uwe na option b jman


.........Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kofuli.......
 
Usitafute suluhu tena kwakuwa kama hakupendi tena hata ufanyeje hakuna kitakachoyarudisha mapenzi yake kwako
Sepa kaumie kivyako utasahau na maisha yatarudi kama kawaida

Dah... Nimepapendaje hapa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…