For sure Bujibuji me huwa nayaogopa sana kuendeleza urafiki na Ex for the sake of new relationship.... Mkiachana ni for good aisee!!!! Kwanini mng'ang'aniane kama kupe wakati mmoja wenu hampendi mwingine?????
Ofcourse mmoja hampendi mwenzie, au wote hampendani kama siyo hizo sababu basi mmeachanishwa kutokana na sababu kama wazazi kuwakatalia kuwa pamoja n.k na hii husababisha kuendelea kugegedana kisirisiri...