Mwisho wa Mahusiano

Bujibuji kuachana ni kubaya hasa kama mlipendana (if you had cherished moments together). Hakika kwa upande wangu inanichukua mwaka kukubali kuwa tumeachana!! Naugulia na kugumia!! Kupenda kubaya jamani!! Ohoooo!! Ila ni bora mtu mkutane mkukubaliane kuachana kuliko all of the suddem upande mmoja unavunja mawasiliano!!
 

URAFIKI NA EX.... NEVER HAPPEN

Copy to: Evelyn Salt, Madame B.....
 
Last edited by a moderator:

..ngoja nikaoge kwanza...
 
charminglady hiyo roho wa kina TUWACHE TUPUMUWE ikutoke. Uadui hauna mchongo wala mchakato

Sio uadui mkuu Bujibuji... hivi mie na ex tutawasiliana kujadili nini???? Halafu mpenzi aliyepo ataelewa nini juu ya mawasiliano kati yangu na Ex...

Just imagine mkeo au mpenzio awe na mawasiliano na ex utajisikiaje??? Ndio maana napinga sana hayo mawasiliano na ex ni kuharibiana tu!!!!
 
Last edited by a moderator:

Ndugu, aliyekuchoka lazima aje na sababu ili mradi tu kukidhi haja yake ya kuachana. udhaifu ambao awali wakati anakupenda aliona ni wa kawaida wakati huu atauona ni jambo lisilo vumilika.
Kuachwa ni kuachwa hakuna formula ni kama Kuua ni kuua japo kuna formula nyingi kama homocide, genocide n.k lakini still kuna mtu kadhurumiwa nafsi.

Xperience is the best teacher... Lol
 
::
Unatakiwa ujue kwanza unaemuacha ni mtu wa aina gani.
Kuna wengine ving'ang'anizi usipokuwa jeuri atakuharibia uhusiano wako wa baadae.
=
 
Pole, na muda ni dawa tosha.

 
Buji usitake kuniambia na Jeni naye kakumwaga!!
 
Last edited by a moderator:
charminglady itabidi tutunge kitabu juu ya athari za muendelezo wa mawasiliano na X
 
Last edited by a moderator:
charminglady itabidi tutunge kitabu juu ya athari za muendelezo wa mawasiliano na X

For sure Bujibuji me huwa nayaogopa sana kuendeleza urafiki na Ex for the sake of new relationship.... Mkiachana ni for good aisee!!!! Kwanini mng'ang'aniane kama kupe wakati mmoja wenu hampendi mwingine?????
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…