Mwisho wa Lowassa na Chenge NEC ijayo - Ole Sendeka

Hivi nyie viwavi wa cdm mambo ya ccm yanawahusu nini kaeni muandae mikakati ya kukuza chama chenu achaneni na ccm kabisa

Ila kweli wanatakiwa wakijenge chama chao cha chadema na kuachana na ccm wafe na chama chao maana wanandugu kuuana jirani kazi ya ni kwenda kuzika tu na si kulia
 
Ile kauli ya Sendeka kuhusu mapacha ni sawa na speed za mende ndani ya kabati, aambazo huwa haziwezi hata kutikisa hilo kabati!!!! Namaanisha ya kwamba Lowasa, Chenge na JK huwa ni sawa na Jasho na kwapa kwa mwanaume wa kazi, na hawa jamaa ndio wanaoimiliki ccm kwa hiyo kuondoka kwao bado ni ndoto za alinacha.
 
Baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na Kigoda cha mwalimu Nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbal, ambapo alibanwa na maswali kadha wa kadha na wananchi hao ajitahidi kuyajibu kwa ufasaha lakini kubwa nililopenda ni lile la kuhusu mapacha wawili walobakia.

Mh Sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka:

Mi sioni sababu ya Lowassa na Chenge watolewe ccm kwani wameamua kufa nayo.so wapenda maendeleo ya nchi yetu tujipange tu.
 
whats is wrong with mapacha watatu in ccm perspective?
RA hajaondoka kwa sababu ni gamba bali siasa uchwara ndani ya ccm ndo maana kwenye kampeni za igunga aliitwa kusaidia siasa hizohzo uchwara ndani ya magamba.Magamba wameponea chupuchupu huko igunga wakinunua kila kura kwa takriban sh 115000/=.Sa HV WANAOMBEA AC,EL AU MBUNGE YEYOTE ASIFARIKI kwa sababu kushndwa kunawaogopesha

kama ndio hivi basi 2015 either watashindwa kwa anguko kuu au watafilisika or both
 
whats is wrong with mapacha watatu in ccm perspective?
RA hajaondoka kwa sababu ni gamba bali siasa uchwara ndani ya ccm ndo maana kwenye kampeni za igunga aliitwa kusaidia siasa hizohzo uchwara ndani ya magamba.Magamba wameponea chupuchupu huko igunga wakinunua kila kura kwa takriban sh 115000/=.Sa HV WANAOMBEA AC,EL AU MBUNGE YEYOTE ASIFARIKI kwa sababu kushndwa kunawaogopesha

Siri kubwa muulize Mkulo anajua RA kaondoka kwa sababu ya kugundua kwamba Dowans ina magumashi na aliondoka ili kushinikiza kulipwa hiyo pesa si siasa uchwara hapana .Ushahidi woote anao Mkullo .
 
Baada ya kumalizika mdahalo wa uloandaliwa na Kigoda cha mwalimu Nyerere kuadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Nyerere mh sendeka alipata nafasi ya kuongea na wanafunzi na wananchi mbalimbal, ambapo alibanwa na maswali kadha wa kadha na wananchi hao ajitahidi kuyajibu kwa ufasaha lakini kubwa nililopenda ni lile la kuhusu mapacha wawili walobakia.

Mh Sendeka alijibu kwa kujiamini kwamba kikao kijacho cha NEC ndiyo mwisho wao hivyo wananchi wasiwe na mashaka:
Dolechuma, Ole Sendeka anajifariji kwa kujisemea, CCM haina ubavu wa kumvua gamba EL kwa vile yeye ndie kobe mwenyewe!. Subiri tuone.
 
Back
Top Bottom