Mwisho wa kujuana ubungo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwisho wa kujuana ubungo!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sarikoki, Oct 16, 2012.

 1. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nimecheka balaa...kuna ka Hilux pick up keupe kalikua mbele yangu kameandikwa hivyo kwa nyuma... maandishi meupe ndani ya mstari mwekundu kama hilo tangazo la airtel hapo juu.
  Nimetafakari sana ,huyo mwandishi ana maana nzito sana..pia imenikumbusha mbali sana wakati nimetoka kijiji nakuja town jinsi jamaa na marafiki zangu wa kijijini walivyokua wananikimbia.....
  Serious imenikumbusha mbali sana..
   
 2. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Sasa je mjini hakuna kujuana, ratiba zinabana.. Kujuana shamba huko.. Na hapa ni dar tu, majuu ndo usisime kila mtu kivyake
   
 3. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 4. t

  tmasi de masio Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 16, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  bora umelitambua,town kila mtu nazake.
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Safi sana alikua anatukumbusha tunaotokea shamba
   
 6. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Lazima umezaliwa muhi 2 wewe.
   
 7. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kuwa makini usije mkacha hata mshua wako.....
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Sasa kwa mimi wa Kimara Temboni sijui nisemeje........?
   
 9. m

  maisara Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna daladamoja ilikuwa imepakiwa limeandikwa Kati ya kirusi na wewe nani mchokozi?
   
 10. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  wanatutenga....
   
 11. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Mjini unajifunza mengi...
   
Loading...