Mwisho wa Duniani umekaribia, Tujiandae kupokea miili mipya itakayoweza kuishi milele

barikiwa

Senior Member
Dec 4, 2018
145
263
Mungu waliotuumba sisi hata wao walishapitia maisha Kama yetu, baadaye wakaendelea kiufahamu wakapiga hatua mbele wakasema tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu ndipo Sasa binadamu akaumbwa.
Dunia imeenda Kasi Sana Sasa Ni muda wa sisi kuhama katika mfumo huu wa maisha 3D, na kua advance mfano Eliens.
Maisha ya roho zetu kiasili Ni ya umilele, baada ya mwili kufa roho aidha irudi ilipotoka au itafute mwili mwingine ili iendelee kuishi duniani.
Miili mipya kwa ajili yetu imeshakamilika, mliyokuwa mnaita Mwisho wa Dunia, siku ya kiama etc. Inakuja muda wowote.
 
Chanzo cha habari tafadhali ?
 
Naona wasabato masalia mmeamua kuja kivingine sasa
 
My guardian angel
(1) OK kwa hiyo wewe umesimamisha kila kitu ? Yaani mambo ya watoto kusoma, kulima kama unashamba, mipango ya kujenga nyumba na leta taarifa vizuri amekuambia huyo mtu wako kotatokea nini giza totolo au ngurumo ya kutisha ai vipi

(2) Na je taarifa hizi nyeti dunia nzima umetonywa wewe peke yako au na wengine.

(3) Je una familia ? Wote mmejipanga ?

(4)Wewe unaona kwa nini wewe ndio epewa hiyo siri kubwa ?7
 
Baada ya kusoma post ya Daud Mchambuzi naona mtoa mada moto ameingia mitini kama Yuda Iscariote
 
Muulizie shehe yahaya alitabiri haya mambo matokeo yake anayajua.

Au ndio wasabato masalia mmeoteshwa, kwa maana nyie mkimsomaga Ellen g. White akili zenu zinakengeuka kabisa na kuwaona dini nyingine ni wenye dhambi kabisa
 
Back
Top Bottom