Mwisho wa dunia!

Mwisho wa dunia!

wasabatho ndiyo wanaimani za namna hiyo mara nyingi, ata ukifuatilia 1843 waliwahi kutoa nyingi za mambo kama haya! ukwli ni kwamba ata sayansi za dunia zitaishia kuweka theory maana mwanasayansi mwenyewe Allah amue kwamba dunia inakwisha hizi nyingine propaganda za new world order!

Sio wa sabato tu hawa wanaitwa mashahidi wa jehova au jehovas witness ndo zao kuliko hata wasabato, wao wanakwambia shetani alitupwa dunian 2014 kwenye vita ya pili ya dunia wanajua mambo mengi mnoooo, sijui ka nikweli sasa
 
Kama unaishi kwa kumpendeza mungu haina tatizo
 

Attachments

  • 1405142126387.jpg
    1405142126387.jpg
    33.2 KB · Views: 131
Mathayo 24:36 - Kuhusu siku ile na saa ile hakuna mtu anayejua, wala malaika wa mbinguni wala Mwana, ila Baba tu.

Mwana si ndiye huyu Yesu! Kumbe hajui jambo dogo kama hilo la mwisho wa dunia? Sasa mbona munamwita Mungu! Kweli makafiri hamujui mlitendalo, naomba Mwenyezi Mungu hawabariki muuingie kwenye neema ya uislamkwani ndio njia pekee ya kumuona Mungu wetu na manabii including mtume Yesu
 
Kwa kifupi Wataalamu wa NASA wanakataa kuwa hakuna kitu kama hicho (Nibiru) ndani ya solar system, na sifa zake kama ilivyoelezwa na leta mada.
 
Siku ile hakuna anayeijua hata Mwana hajui lini itakuja ila Mungu peke yake ndiye ajuaye. La muhimu ni kuwa tayari muda wote kwani siku hiyo itatokea kama radi au mwizi. Hivyo yatupasa kukesha kama wale wanawali watano wenye busara.
Sure aisee
 
I think maelezo haya yatakua helpful kwa wanaotaka kuelewa zaidi!

This article is about the
doomsday scenario.

220px-V838_Mon_HST.jpg


"The Nibiru cataclysm is a supposed disastrous
encounter between the Earth and a large planetary object
(either a collision or a near- miss) which certain groups believe will take place in the
early 21st century. Believers
in this doomsday event usually refer to this object as Planet X or Nibiru.

The idea that a planet-sized object
will collide with or pass by
Earth in the near future is not
supported by any scientific
evidence and has been
rejected as pseudoscience by astronomers and planetary scientists.
"

Nibiru cataclysm - Wikipedia, the free encyclopedia
 
kitu kikubwa mara nne ya dunia alafu kiweke tundu tenaa?
 
Mwana si ndiye huyu Yesu! Kumbe hajui jambo dogo kama hilo la mwisho wa dunia? Sasa mbona munamwita Mungu! Kweli makafiri hamujui mlitendalo, naomba Mwenyezi Mungu hawabariki muuingie kwenye neema ya uislamkwani ndio njia pekee ya kumuona Mungu wetu na manabii including mtume Yesu

oya, umeniita kafiri? au ni mimi sijaelewa vizuri post yako?
 
uko wap huo mwisho wa dunia?? we umeuona?? ukomo au mpk wa mwanzo na mwisho vko nchi gani??


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom