Nabii Daniel alimweleza Mfalme wa Babel Nebukadnezza, kwamba mwisho wa falme za dunia utatokea pale jiwe ambalo halikuchongwa kwa mkono wa mwanadamu litakapozipondaponda hizo falme. yawezekana Daniel alitumia lugha ya picha, au ni jiwe kweli.
Hayo mawe yapo, na si lazima liwe kubwa kama sayari.
Lakini hilo jiwe halitafika mpaka kwanza dunia impate mtawala aitwaye Chukizo la Uharibifu, mfalme wa kaskazini