huu sio uthibitisho. huwezi kusafiri amerika kutuletea picha ya kaburi tu tukuamini. tumia akili za mwanahabari anayeijua kazi yake.
Walimuua balali feki kuficha ushahidi wa EPA!! usijifanye umesahau muda huu weye!! Kampeni zaja EPA+ ESCROW= Umaskini ulioletwa na CCM!!Hapa ccm inahusika vip wewe??? au unaropoka tuu
We ulitakaje?? Achukue mifupa afanya DNA?? Yeye ni muandishi kaishia hapo
Kwani we mgeni hapa JF??
Kaburi pekee siyo uthibitisho...Leteni video ya mazishi na ionekane halisi! mbona mnaficha.?
Unaelewa maana ya habari za utafiti wewe au unalinganisha na habari za msafara wa kinana na nape? Je kilichompeleka marekani nikupiga picha makaburi nakutuletea kama habari? Tatizo vijana wa lumumba mnafikiria kwakutumia matumbo.
Siku hizi hili Gazeti silielewielewi, linazidi kuja na tamthilia za ajabu ajabu
kazoea habri za udaku kuweka picha za bongo muvis utafti kwake ni jambo jipya
Hata hiyo anwani ya kaburi si wanawweza kuandika kaburi lolote tu kwaajili ya picha na kuaminisha watu? Eti kaburi limetafutwa kwa siku 2! Kaburi la mtu maarufu kama huyo litafutwe siku 2? Au ndio zilikuwa siku za kuandika anwani kwenye kaburi la mtu mwingiene? Waweke picha inayoonesha makaburi mengine hapo isije kuwa wamepaint kaukuta fulani kimtindo tena ikiwa hapa hapa bongo! Nchi ya kusadikika hii ni vigumu kuwaamini!Swala la kuona kaburi haitoshi kujiridhisha kwamba aliyezikwa ndio mwenyewe(original),kama alikufa kweli iweje kusiwe na picha za maombolezo,maziko,wawakilishi wa familia,kuaga mwili etc.
Hakuna haja ya kutengeneza kaburi. Unakwenda tu pale Kinondoni unajichagulia kaburi moja wapo na kuweka maandishi yako ya muda kwaajili ya picha tu halafu unayafuta au unakwenda kwenye vile vijiwe vya wakereketwa wa CCM uanandika anwani ya "marehemu" kisha unapiga picha ukimaliza unafuta. Unaweza kutumia stika au temporary colours kama zile wanazojipaka watu mwilini kule Bra71li. Huyu "mwandishi Mchunguzi" atawaponza wengi!Haka kanchi kaajbu kweli kweli, yaani picha ya kaburi ndio uthibitisho? kwahiyo na mimi nikiiba pale Bank mabilioni ya pesa then ndugu zangu wakasema nimekufa na kutengeneza kaburi nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiii basi itakuwa imetosha kuwa uthibisho nimekufa. NYAMBAFU ZAO KWANZA KWANINI HII STORI IMEKUJA MUDA HUUUUUUUUUU?
Ajabu! Yaani picha za mtoto wa boksi akiwa hai na mfu tunaoneshwa lakini mtu maarufu kama Governor hata picha ya hospitali alikolazwa haipatikana kutona na ugonjwa aliokuwa anaugua wa EPA ambao kamera huwa zinaungua akipigwa picha akiwa hai au mfu!well said mkuu! Waandishi wetu wengi utafiti unawashindaga. Analeta picha ya kaburi!!!?
Kiongozi wa juu nchi hii.. Aliyeshika nafasi kubwa ya taasisi kubwa na nyeti nchi hii..... akazikwa kimya kimya bila ndugu zake kushiriki mazishi...
Upumbavu mwingine bana!!
Hakika hawa ndio waandishi tulionao tanzania eti hyo nayo ni habari ya uchunguzi. Inasikitisha kuona mtu anatumia garama kubwa kiasi h4cho then anatuletea habari isiyokua na utafiti hata chembe au hyo safari alilipiwa na serikali ya ccm nini?