Mwisho wa Chenge umefika rasmi

Rosemarie. Chenge, alikwenda HARVARD kozi ya majira ya 'kiangazi'summer school si mtajwa katika orodha ya waliosoma kama ambayo waziri mkuu mstaafu Sumaye alikaa bweni ambalo hata leo lipo linaonekana.Kozi za Chenge ni za wiki fupi sana.
 
Mmh huyu jamaa ni jinni sidhani kama litang'oka

Hata kwa nondo au risasi haiwezekani? Mbona anadunda mitaani kwetu na tunamwona( huyo jambazi na gaidi).Mbona tunawaua na kuwachoma moto vibaka tukiwaona?Mbona tunamwona na anatembea mitaani hatumwui na kumchoma moto?
Historia chafu ya Chenge(kibaka,fisadi , jambazi na roho mbaya):
1.Alishagonga na kuwauwa wanawake wawili na kuwauwa usiku wa manane akitoka kwenye starehe zake.Akaachiwa huru!
2.Ameshiriki kwenye ufisadi wa epa, radar nk
3.Ndiyo alikuwa kwenye kamati ya uandishi wa katiba ambayo imechakachuliwa kuja kuwalinda mafisadi
3.Sasa yuko kwenye Eskro
Tukitaka Tanzania iendelee kuishi watu kama hawa wanatakiwa kufutwa kwenye uso wa dunia kwa njia yoyote ile.I we ya kumroga au kumtupia jini, kumpiga nondo/mapanga au hata kwa risasi!
 
alafu baada ya makao makuu ya chadema ufipa nyumba
mbili inayofata ni yake...
 
Kung'oka kwake itakuwa ngumu mpaka wananchi waamue mwakani au yeye akubali kukaa nje uchaguzi ujao
 
no mkuu, chenge atatoka tu dunia washakuwepo mabedui chenge cha mtoto
chenge kna watu wanamlea tu huku tz.....siku yake ikifika atatoka hata kwa malungu
 
Huyo jamaa kule usukumani ukisimama nae humalizi wiki wanakuzika... Labda hatashiriki kwenye dili haramu tu ila ubunge tusahau

Hakuna kinachomshinda Mungu na kila lenye mwanzo halikosi mwisho! !!labda ndani ya ccm yao huko...
Na huu ndo mwanzo wa mwisho wake mkuu....
Mi naamini hajapatikana mtu ambae yupo serious huko....
Kwani mtera kwa Malecela ilikuwaje!!?
 
Kuna waziri mkuu mstaafu wa Italy anaitwa Silvio Berlusconi kafanana sana tabia na chief Chenge
 
Hakuna kinachomshinda Mungu na kila lenye mwanzo halikosi mwisho! !!labda ndani ya ccm yao huko...
Na huu ndo mwanzo wa mwisho wake mkuu....
Mi naamini hajapatikana mtu ambae yupo serious huko....
Kwani mtera kwa Malecela ilikuwaje!!?

kweli kabisa kwanza chenge hajaumba dunia yeye syo mungu.atangoka tuuu akingangania biology itamuondoa tu
 

Nawaambia hakuna lenye mwanzo lisilokuwa na mwisho!
Pamoja na yote aliyofanya...unafikiri aliwahi tegemea km anaweza ht kupigwa chini huo uenyekiti? !

Niwaambie tu Ukweli ni kwamba wanatumia sn nguvuza giza kwa kutoa makafara!
Bt pia kuna watu wanaiombea sana hii nchi na ndo maana mambo yanazidi kuharibika cku hadi siku so ht km huo mtandao ni mpana kiasi gani wataondoka tu.
 
Watu wa jinsi hii wako wengi katika nchi hii................ wanaofahamika ni hawa wachachetu laiti ingekuwa nchi za wenzetu kama China Urusi hawa ni wakupigwa risasi hadharani
 
Chenge ni mtaalamu aliyebobea kwenye sheria na siasa hivyo ukimwona wa kazi gani duniani wanasema watampata lini.
they say charity begins at home,
hiyo elimu yake ya sheria imelisadia nini taifa kwa ujumla wake zaidi ya kulitia hasara?!.
 
Watu wa jinsi hii wako wengi katika nchi hii................ wanaofahamika ni hawa wachachetu laiti ingekuwa nchi za wenzetu kama China Urusi hawa ni wakupigwa risasi hadharani

kuna watu hawastahili kuishi kabisa kwa mambo wanayofanya.....wanatakiwa wachinjwe hadharani
 

MUNGU WA KWELI akubariki sana .
 

Pia he will die na hatakumbukwa kwa jema zaidi ya kwenda kulichapa fimbo kabuli lake kwa kusababishia hasara taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…