Mwinyi na Michael Jackson

ukiangalia hii picha haraka haraka ni kama nyingine zozote lakini ukianza kudadisi juu ya 'how', 'where', 'when', 'what' yaweza kuishia kukupa picha ambayo hakuna Mtz yeyote anayependa kuisikia.
Na vitambaa vilitandikwa vizuri kwenye viti, sijui hiyo kazi ilifanywaga na fist lady wa wakati huo!
 
Nakumbuka jamaa alilazimishwa kuvaa KIJANI na NYEUSI.......ilikuwa 1992 na tulikuwa full gambalized
 
jamani, kumbe hii ni laana ya kurithi, sijui tufanyeje ili kuitokomeza
 
mkuu Bujibuji naona leo umeamua kufukua makabrasha na kuchomoa vile vitu vya chini kabisa...
 
Last edited by a moderator:
Wekeni wazi basi tujue kilichokuwa kinaendelea.
 
Hivi Mikaili Jakson alikuja kufanya nini kipindi hicho.

Nakumbuka alifikia Kilimanjaro hotel....nakumbuka alikuwa anaziba pua kwa sababu ya harufu.

Sasa hapo alipokaa na mzee wetu bila shaka chumba kilipigwa marashi ya kufa mtu..
 
Duh wako ... angekua hai enzi hizi za JK angekua anatimba kila siku ikulu.........
 
kwa jinsi udi unavyo nuka vibaya......
sipati picha
Hivi Mikaili Jakson alikuja kufanya nini kipindi hicho.

Nakumbuka alifikia Kilimanjaro hotel....nakumbuka alikuwa anaziba pua kwa sababu ya harufu.

Sasa hapo alipokaa na mzee wetu bila shaka chumba kilipigwa marashi ya kufa mtu..
 
mkuu Bujibuji kuna wenyewe wa hiyo makitu, bila kusikia harufu ya huo udi juma mgunda hanyanyuki!! chezeiya mafukizo na manuio wewe????

cacico Khaaa!

Sasa itakuwaje mtu wa namna hiyo akiingia duka la wahindi??? Sipati picha juma mgunda wake atavyohangaika......
 

una akili saana kijana!! nimetazama kwa jicho la tatu pozi zao na jinsi mr.prezidentee alivokua na bashasha usoni..
 
Mzee Ojwangi wa kundi la vitimbi yupo hai?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…