Mwingira aporomosha matusi ya nguoni ibadani baada ya kuumbuliwa na JF

kweli ndugu maana nina stori zake mambo aliyofanya huko BAGAMOYO yanatisha
 
Acha kumuonea wivu mwingira
 
Acha kumuonea wivu mwingira
Mkuu hebu angalia vizuri huyo aliyepost hiyo post inayohusu matusi, naona umeniquote mimi ila sijawahi kumsikia popote mwingira akihubiri kwa kutoa matusi inawezekana ipo shida sehemu au umechukua nukuu ya mtu mwingine. Nimeangalia vizuri naona kuna tatizo isije ikawa mtu kanivamia.
 
Na mimi nimeangalia vizuri mkuu, kuna mtu kakuvamia
 
It says it's you tazama tarehe yako ya kujiunga na ya post ya kwanza ktk Uzi huu
 
Hawa wote wanaojiita manabii, mitume, si manabii wala mitume bali ni wachungaji..Unajua ni kwa nini?.Nabii huwa hana kanisa. Mtume vile vile huwa hana kanisa; Yeyote aliye na kanisa huyo ni mchungaji. Hebu watuambie Isaya na Samweli, makanisa yao yaliitwa majini gani.?. Wamejazana Dar na wana makanisa yenye waumini lukuki halafu wanajiita manabii!. Hawa ni wachungaji. Katika hizi Siku za mwisho, watatoa unabii gani, wakati unabii ulisha tolewa na Yohana katika waraka wake wa ufunuo. Au unabii wanaoutoa ni ule wa kuwaambia watu watawatajirisha, watapokea magari , majumba, pesa, na safari za Ulaya na America badala ya kuwaambia watu wazifue nguo zao katika Damu ya Yesu tayari kuurithi uzima wa milele.
 

Wwe ni mpumabvu. Usitake kutumia jukwaa kwa interest zako. Makala ako yote imejaa ushindani na mwingira. Hiyo ndiyo taaluma? Ujinga ni tusi la nguoni? Kwa ufahamu wako kumwambia mtu mjinga ni dhambi kwamba mtumisi wa Mungu hawezi kusema? Pumbavu kweli kwlei!.

Simfahamu Mwingira na sihitaji kumfahamu lakini ulichokionyesha hapa ni upumbavu wako. Unadishi wa habari hauko hivi. Huu ni ujinga na chuki zako kwa watu na kutaka kulitumia jukwaa for spreading your personal attitudes towards that Mwingira, campaigning against him for your spiritual failures and ignorance. Leave him alone or go back to school so that you can learn how to report professionally.
 

Wewe ni mpumbavu wa kiroho, unachokihubiri hapa ni dini wala Mungu humjui. Kasome andiko linasemaje. Usilete propaganda zako kwa kuwa huwezi kuzijua karama za Mungu.

Wewe na hao unaowasema KAMWE HAMTAWEZA KUMBADILISHA MUNGU. KAMA HUJUI NYAMAZA!. MTU YEYOTE WA MUNGU HAWEZI KUJARIBU KUTWEZA NENO LA MUNGU MITANDAONI KWA KUWA YEYE HAJUI.
 
Huyo mwingira muuaji tu anayoyafanya kule Sumbawanga dhidi ya raia kwenye lunch ni mateso .Ni mjasiriamali wa dini huyo.
 
Sasa ujinga ndo tusi la nguoni? Tusi zito? Kwani tunajifunza ili iweje?? Mtoa mada nawe mjinga tu...nasema mjinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…