Mwingira aporomosha matusi ya nguoni ibadani baada ya kuumbuliwa na JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwingira aporomosha matusi ya nguoni ibadani baada ya kuumbuliwa na JF

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Anold, Mar 22, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Katika ibada ya jumapili iliyokuwa inafanyika kwenye kanisa la EFATA Nabii na mtume mwingira aliporomosha matusi ya nguvu kwenye ibada hiyo kwa watu wote wanaokwenda Loliondo na waandishi wa habari wanaojifanya kumuandika kwenye vyombo vya habari baaadhi ya maneno yenye lugha iliyopitiliza sitaweka ila mojawapo ni haya " Nasema wale wanaokwenda Loliondo ni wajinga!! nasema niwajinga!! waandishi wa habari ambao wanatabia ya kuniandikaandika kwenye vyombo ya habari ni wajinga'' nasema niwajinga, mawaziri wanaokwenda Loliondo ni wajinga!!! wanaonisema kuwa ninalaaana ya Kanisa la Moja ni wajingaaaa!!! baada ya kuporomosha maneno ambayo sio rahisi kwa mtu yeyote wa mungu kuyatamka alimalizia kwa kuwataka wamumini waitikie kwa kusema ameeen. Hata hivyo alibainisha wazi kuwa anajua kuna waandishi wa habari wapo ibadani hapo hivyo waandike wanavyoweza maana ni wajinga.

  Kwenye Ibada ya jumapili ya tarehe 13/03/2011 mwingira alitoa amri mafundi waliokuwa wanarusha ibada ya jumapili kwa njia ya TV wazime ili wanachi wanofuatilia ibada hiyo wasione kashfa aliyoitoa kumkashifu babu wa loliondo hata hivyo bila kujua kuwa JF member alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wametinga ndani ya ibada hiyo. Hata hivyo inaonesha kuwa mwingira anashida kubwa kiroho hivyo kwani taharuki na ghadhabu aliyoionyesha ibadani juu ya kuanikwa na vyombo vya habari mimi binafsi sijui nitafanyiwa maombi gani ili niamini kuwa mwingira ni nabii. Baada ya ibada baadhi ya waumini wake walisikika wakimlaumu kwa lugha alizotumia kuwasilisha hisia zake!! nimeona niwajuze wenzangu ili mjue msimamo wa nabii huyu!!!!
   
 2. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,426
  Trophy Points: 280
  wateja wamepungua kwake nini?
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Dini kama vyama!!sikuhizi!wanabomoana live!!
   
 4. A

  Anold JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Walikuwepo ila inavyoelekea wameshaanza kushtuka maana hapo tu aligawa bahasha ili watu wachangie pesa, Kibaya zaidi waumini wemeshtukia maana binti wake mwingira amepigwa mimba na mhuni mmoja wa kimara. Pia mtoto wake wa kiume ndiyo utajua watumishi wa mungu nao wanamisalaba!!!
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Conflict of interest.

  Anashindwa kujizuia anaroho ya kibepari kujilimbikizia mali .

  Sasa anaona babu kawa na mvuto na waumini wake wamemkimbia na ubabaishaji wake
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Hao ndio manabii wetu hawapendi kukosolewa au kuona mtu mwingine anapata sifa kuzidi wao,hapo hakuna nabii yoyote ila ni UTAPELI mtupu,huyo Mwingira anashindwa kuwasaidia watoto wa kaka yake aliyemlea na kukaa naye Nairobi,leo hii ndie ajifanye awe na huruma kwa watu wengine,hawa manabii sijui wa upako,ufufuo,utajiri ni matapeli tu ambao wananufaika kutokana na matatizo ya watu
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  religion is an opium of mind............
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hizi ni siku za mwisho tunaanza kuwatambua mmoja mmoja kwa matendo na maneno yao.
  badala ya kufunga na kumwomba MUNGU wake anayemwamini amfunulie juu ya Babu wa Loliondo kama ni wa kweli au la ili awashauri ipasavyo Waumini wake, yeye anatukana!! Wote wako kimaslahi hakuna hata mmoja nimwaminiye
   
 9. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ivi Unabii na Utume unajipa unapewa?
  hehehe na bado watatoka povu sana! mi nashindwa kuelewa ivi mtu unatekwaje kiimani na watu kama kina Mwingira &Co.
   
 10. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,972
  Likes Received: 20,334
  Trophy Points: 280
  Maombezi yake huwa ni ya ajabu sana na hata lugha anayoitumia mara nyingi huwa ni kali na ya matusi, unapofuatilia vipindi vyake Efatha Tv wakati mwingine lugha inayotumika haipendezi kutizama na kusikiaka na watoto
   
 11. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  So kwa mujibu wa hii hotuba wewe ni mjinga, Am just kidding lol! i will be back for further comments.

   
 12. N

  Nondo Member

  #12
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nimesikia viongozi wengi wa dini mbalimbali wamezungumzia kuhusu babu wa loliondo ila kuna baadhi bado sijasikia misimamo yao kwa mfano Sijamsikia Mwalimu Christopher Mwakasege msimamo au views zake kuhusu babu wa loliondo.
   
 13. kmwemtsi

  kmwemtsi Senior Member

  #13
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwakasege kasema watu waende wakapate kikombe......
   
 14. m

  mareche JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kweli dini biashara tusipokuwa makini utainginzwa kwenye mikumbo ya kishetani
   
 15. LD

  LD JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama ulisikia semina yake iliyokuwa inaendelea pale Biafra Kinondoni, inahusu sana Maombi. Na anasisitiza watu waombe kwa bidii, na kwa nguvu zaidi, bila kukoma.
  Nampenda sana huyu mtumishi, huwa hajisemei semei mambo hovyo. Lakini anakuambia hivi........ASOMAE na afahamu, ASIKIAE na afahamu.
  Omba kwa bidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!! Ndicho nilichokiona mtumishi huyu anasisitiza kwenye somo lake kipindi hiki cha hili wimbi la.............!!!!
   
 16. LD

  LD JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Sio kweli!!!!!!!!! Labda utuambie kasema wapi.
  Usiseme kitu ambacho hakijasemwa!!!!!!!
   
 17. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Naye atafute jani la mti wowote atie neno pale halafu aone kama litaponyesha magonjwa sugu. Lisipoponyesha ujue hakuna kitu hapo, nabii feki, amejipa unabii kwa kujiamini na nguvu za giza. Dawa ya babu inawaumiza sana yeye na Kakobe, sijui nini kinawauma wagonjwa wanapopona... Tunaambiwa kuwa imani inaweza hata kuhamisha mlima iweje yeye ashindwe kutibu magonjwa sugu halafu anamporomoshea matusi anayesemekana anaweza???
   
 18. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 1,989
  Likes Received: 1,044
  Trophy Points: 280
  Mkuu Anold,

  Kumbuka ya kuwa.......dini ni mpango wa MUNGU kumkomboa Mwanadamu, na dhehebu ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta MUNGU!

  Sasa kwenye kumtafuta MUNGU si wote wanakuwa/tunakuwa kwenye RIGHT TRACK.
   
 19. NEGLIGIBLE

  NEGLIGIBLE JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 358
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ...................vipi suala la la kupanda mbegu hakulizungumzia............................?
   
 20. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha uongo wa kusingizia watumish wa Mungu. unatafuta faraja kwa kuwa unataka kwenda? au ushaenda na hujapona? au umesikia wamepona ila hujathibitisha! pole
   
Loading...