Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,345
Msanii wa taarab nchini Tanzania wa kundi la TOT plus, Mariam Khamis maarufu kama paka mapepe amefariki dunia usiku wa jana kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam mara tu baada ya kujifungua . Mariam Khamis umauti umemkumba
akiwa anaimba kundi la TOT plus lakini enzi za uhai wake aliwahi kuimbia katika makund mbalimbali ya taarab likiwemo East Africa Melody, Zanzibar Stars na 5 Stars. Khamis Muhidini Shomary baba wa marehemu amesema mipango ya
mazishi inaendelea kufanyika ambapo anatarajiwa kuzikwa hapo kesho Magomeni Kota jijini Dar es Salaam.
Chanzo: EA Radio