Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,320
Ingawa comment yako ni valid overall, lakini ni premature at this given instance..., hatujui chanzo wala sababu...Muafaka wa pa1 aliousema polepole kwa sasa unahitajika saaana utu unaisha kwa kasi saaaaana ukipelekewa na utofauti wa itikadi zetu za vyama