Mwili waokotwa barabarani ukiwa umekatwa shingo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Mwili wa mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 35-40 umekutwa ukiwa umetupwa pembezoni mwa barabara ya kuelekea Kilindi mkoani Tanga katika eneo la Kijiji cha Mbigiri huku shingo yake ikiwa imekatwa na kitu chenye ncha kali.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Manyara SACP Geroge Katabazi amethibitisha tukio hilo hii leo Februari 28, 2024, na kusema hakuna anayeshikiliwa na wanaendelea na uchunguzi.

Screenshot_20240228-124229.jpg

Credit - EATV
 
View attachment 2919063

Credit - EATV

Hiyo hapo ni barabara?
 
Back
Top Bottom