Naogopa kuongea maneno mazito maana ishu hii inahusisha wafu.
Lakini ni jambo la aibu kufanya mipango ya hila na fedha juu ya wafu, ili kujinufaisha kisiasa. Ni ukora uliopitiliza na upumbavu wa kitoto. Nawalaani wote wanaohusika kwenye maongezi hayo ya KUZIMU yanayombariki SHETANI.
WASHINDWE, mipango yao igeuke Jinamizi, na mwili wa Ismail uwasili NMC tuuage.

Ina maana pamoja na PJ kuondoa signature yake bado unaona katumia busara kidogo si kubwa Duh!kweli mkuu nakuunga mkono,nimefurahi sana kwa kuondoa signature yako kwa kweli umenisikiliza hongera kwa busara japo kidogo.
hii KAMA NI KWELI THEN NI KIBOKO YA KARNE! LAKINI HAWA JAMAA WA CCM SISHANGAI KUFANYA JAMBO KAMA HILO! KAMA TAMBWE HIZA ANASIMAMA KWENYE TV NA KUSEMA UCHAGUZI WA MEYA NI HAKI NA HURU ILHALI AKIFAHAMU WAJUMBE HAWAKUFIKIA THELUTHI MBILI KWANINI ASHINDWE KUTOA SENTI KWA HAO WAHANGA PESA AMBAZO KAWADHULUMU KABLA KUPITIA NJIA MBALIMBALI IKIWAMO KUPANDISHA BEI ZA UMEME NA MSULULU WA KODI!!!Polisi na ccm upande mmoja na Chadema upande wa pili. Baadhi ya ndugu wa marehemu wanaoneka kufanya dili. Waliahidiwa na Chadema gharama za mazishi. Leo UWT na polisi wako bize kuwashawishi (kwa fedha) wasikubali kushirikiana na Chadema. Bado mazungumzo yanaendelea, chochote kinawezekana
Ina maana pamoja na PJ kuondoa signature yake bado unaona katumia busara kidogo si kubwa Duh!
Mkuu, si unamwona eeh?
Sielewi ananifuatilia nn huyu mtu. Najitahd kumpuuza bt he still clings on me with his/her buggy sounding. Iam slowly gettin fed-up!
Mkkuu umeongea kwa uchungu sana, na naamini maneno yako ni laana tosha kwa wahusika kama ni kweli kunanjamba za kipumbavu kama hizo!
Mkuu, si unamwona eeh?
Sielewi ananifuatilia nn huyu mtu. Najitahd kumpuuza bt he still clings on me with his/her buggy sounding. Iam slowly gettin fed-up!
These people are more than crap....wanachotafuta hasa ni nini?
Je lengo lao ni kusiwepo na mchanganyiko wa huduma za dini zote wapatie sababu ya udini...mapuuzi kweli haya majitu
oyoooooooooooooooooo tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaa imesimama hii nchi sio mchezo