Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo

Alafu ningependekeza wanaopelekwa Ngerengere sijui sengerema kupata red baret na bawa, wawe wanachukuliwa wenye sura ngumu za kazi. Huyu jamaa kumwita komando ngumu kidogo.
Sio red beret, red beret is for military police, commando huvaa beret ya damu ya mzee
 
yaani amefariki mwaka jana 27 mwezi wa kumi hadi leo?!
 
Kwan umeandika na ukapendekeza nn Mkuu?
Sasa si nimeshapendekeza, mbona unaniuliza shida yangu tena hapo juu?? Sina shida, na nafahamu kuwa dont judge a book by its cover, jamaa kimuonekano anaonekana tozi ila nina uhakika kuwa ukomando hakupewa mezani!! Lengo langu lilikuwa ni kuweka humour kidogo kwenye majonzi, RIP Commando Lt. Mlima.
 
Shida ilikua comment yako kujudge muonekano wa mtu na utendaji kazi wake , mpaka nilikua nshaanza kuchukia kwa kasi bado kidogo ....
Anyway Shake hands with me bro Au kama uko na Gun Rusha Hata bullet moja juu Sote tumkumbuke jamaa yetu L.t . Mlima, Ahhaha Went soon while he was still young and productive.
 

Kwa nini alivaa hiyo kofia?je ni silaha?kwa nini asiwe undercover?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…