Mwili wa commando Lt. Mlima kuwasili leo




 
na nyie akina kadoda11 na Ntuzu tumewachoka sasa na makelele yenu humu na huyo mnayemwogopa. kwani ninachokiona ni kwamba Gentanycine anawanyimeni mno usingizi. hivi kwa haya matusi au jeuri au kejeli zenu mnadhani marehemu anajisikiaje? halafu eti wote mnajiita great thinkers! shame on you. mnadhani watu humu wanafurahishwa na majibizano yenu haya? mtakua lini nyie? mods hebu kama vipi ifuteni tu hiyo thread mtupunguzie hizi kero za hawa members watatu tajwa hapo juu. tumewachokeni. ningewaona mna busara kama mngesema lini mara ya mwisho mmeenda hata kuhani tu kaburini kwake au mzidi tu kutupa wasifu wake marehemu ili na wengine pia wajifunze na tujifunze. mbele ya members wote humu nyie watu watatu mmedharaulika kwa kiasi kikubwa. mods do something please.
 
Last edited by a moderator:

well said mkuu cleverbright na kama hawajakusikia katika huo ushauri mzuri wa hekima na busara basi watakuwa tu na agenda yao ya siri na ovu humu.
 

Teh teh teh teh teh naona km kawaida yako!😀😀😀😀😀
 
Last edited by a moderator:

samahani unamzungumzia yule popoma anayechanganya herufi kubwa na ndogo? :A S wink: cc: kadoda11
 
samahani unamzungumzia yule popoma anayechanganya herufi kubwa na ndogo? :A S wink: cc: kadoda11
ndio huyo huyo mkuu,ana ID kama 50 hivi,moja tu ndio imefanikiwa kufikia hadhi ya JF Senior Expert Member,zingine zote zimeishia kwenye member. bora sasa mtaalamu wa siasa za maziwa makuu umekuja,nina hakika huwa anakuogopa sana.nakukabidhi uandelee naye.maana pamoja na mimi kumpiga "makwenzi" mengi hakomi.hakika huyu jamaa ni "POPO-MA" wa kiwango cha juu.
 
mkuu usipoteze mda naye.my instinct tells me,the guy you're arguing with is the same imbecile.........kaja na ID nyingine.hahahahahahah.

teh teh teh teh.....nlkuwa naitafuta comment kama hii nalog off sasa mkuu kadoda11
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi ulikua na mantiki nyingne kabisa kwa kamanda wetu wa Jeshi.. Kwanini mnaugeuza kijiwe cha soga!?😡😡😡
 

Na huo u 'senior expert' umetokana na mijadala yake ya kuleee kwenye jukwaa la malavidavi, huku kwenye siasa huwa anaangukia pua 🙂A S wink🙂 tu.
 
Unajua ambush ni nadra kutoka alive. There is only one man I know in history who came out Alive from ambush. Hii kitu usikie
 
Alafu ningependekeza wanaopelekwa Ngerengere sijui sengerema kupata red baret na bawa, wawe wanachukuliwa wenye sura ngumu za kazi. Huyu jamaa kumwita komando ngumu kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…