Mwili kusikia baridi kupita kiasi

Mwili kusikia baridi kupita kiasi

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,839
Wakuu,

Hii ni mara ya pili sasa inanitokea, usiku nasikia baridi kali sana. Natetemeka kisha ninakuwa kama nina kwikwi hivi, nikijifunika blanket hiyo hali inapotea.

Mara ya kwanza ilinitokea miezi takribani saba iliyopita nikajifunika blanket hiyo hali ikapotea.

Kinachonishangaza ni kwamba nasikia baridi sehemu ambayo kuna joto (Nipo Dar). Hii inaweza kuwa ni shida gani wakuu? Kuna mtu humu ameshawahi kukumbana na hili. Msaada please
 
Unaishi Dar alafu unauliza maswali ya vipimo vya afya yako kama upo Sitimbi kusikokua na hata Zahanati;Mtakufa kizembe kwa kuendekeza mitandao ya kijamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakaribia kufa anza kutubu

In this life there are two things either you adapt if not you have choosen to perish... think
 
Wakuu,

Hii ni mara ya pili sasa inanitokea, usiku nasikia baridi kali sana. Natetemeka kisha ninakuwa kama nina kwikwi hivi, nikijifunika blanket hiyo hali inapotea.

Mara ya kwanza ilinitokea miezi takribani saba iliyopita nikajifunika blanket hiyo hali ikapotea.

Kinachonishangaza ni kwamba nasikia baridi sehemu ambayo kuna joto (Nipo Dar). Hii inaweza kuwa ni shida gani wakuu? Kuna mtu humu ameshawahi kukumbana na hili. Msaada please
Pole nyingi! Hiyo dalili unayoelezea ni dalili ya magonjwa mengi! Unachotakiwa kufanya ni kwenda hospital inayoaminika ili ufanyiwe vipimo! Kwa mfano TB ina kawaida ya kusababisha homa za usiku. Pia yapo magonjwa mengine mengi.
 
Wakuu,

Hii ni mara ya pili sasa inanitokea, usiku nasikia baridi kali sana. Natetemeka kisha ninakuwa kama nina kwikwi hivi, nikijifunika blanket hiyo hali inapotea.

Mara ya kwanza ilinitokea miezi takribani saba iliyopita nikajifunika blanket hiyo hali ikapotea.

Kinachonishangaza ni kwamba nasikia baridi sehemu ambayo kuna joto (Nipo Dar). Hii inaweza kuwa ni shida gani wakuu? Kuna mtu humu ameshawahi kukumbana na hili. Msaada please
Na mimi ni muhanga wa hili tatizo mkuu tena usku nikilala ndo hili tatizo linakuja na nikijifunika blanket gubi gubi ndo linapotea cjawah kujua tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Hii ni mara ya pili sasa inanitokea, usiku nasikia baridi kali sana. Natetemeka kisha ninakuwa kama nina kwikwi hivi, nikijifunika blanket hiyo hali inapotea.

Mara ya kwanza ilinitokea miezi takribani saba iliyopita nikajifunika blanket hiyo hali ikapotea.

Kinachonishangaza ni kwamba nasikia baridi sehemu ambayo kuna joto (Nipo Dar). Hii inaweza kuwa ni shida gani wakuu? Kuna mtu humu ameshawahi kukumbana na hili. Msaada please
Ulifanikiwa kupata tiba mkuu..?!
 
Mligundua shida gani mkuu kama hutojali...pole Sanaa kumpoteza Mama
Shukran mkuu...

Hiyo si dalili nzuri kabisa...yaani unaweza kuondoka kama utani vile...

Baba Swalehe...hapo juu kuna post kaandika.. kiwepesi sana..lakini kamaanisha..ukweli kabisa!

Binaadam hamna kitu..kabisa...

Labda wenzetu watujulishe..waliendeleaje? walipona?

Hi ikiendelea baadae mwili unakuwa na harufu flani ambayo hata bundi..watakuja maana wanaisikia..yaani seli za mwili zinaanza kufa taratibu.. .. ndio mwanzo wa safari...
 
Back
Top Bottom