MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,698
- 42,013
Mmmmhhhh na ugali maharage usivyopanda
kupanda kuelekea wapi ??
maana tumboni unashuka
#bringBackOurMoney
Mmmmhhhh na ugali maharage usivyopanda
Chakula cha kawaida tu hicho
Volume ndo ninayoongelea mimi kwamba ni ya kawaida
Hahahaaa hujui hata usemacho....mimi ni noma wewe
Shauri yako....siku utashuhudia msosi ninaopiga hutoamini. Na usirogwe ukanitoa out kama hujajipanga utajutraaa....
Nishawahi kutoa ofa marafiki watano wewe mmoja tu
tena kumaliza chips yai mpaka ulazimishwe
#bringBackOurMoney
we umewahi kuvuta bangi? kama jibu ni ndio ulikula kiasi hicho? vp bangi ya ushuani yenyewe inakuaje?
mshana tukutane makutano au beach