Wapoti JF-Expert Member Aug 28, 2013 2,824 1,097 Dec 26, 2015 #2 Watoto wa aina hii akili zinahamiaga tumboni darasani ni shughuli .
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,604 752,013 Dec 26, 2015 Thread starter #3 Wapoti said: Watoto wa aina hii akili zinahamiaga tumboni darasani ni shughuli . Click to expand... Hahahahahaaa japo kosa ni la wazazi /walezi kumuoverfeed mtoto
Wapoti said: Watoto wa aina hii akili zinahamiaga tumboni darasani ni shughuli . Click to expand... Hahahahahaaa japo kosa ni la wazazi /walezi kumuoverfeed mtoto
Mshuza2 JF-Expert Member Dec 27, 2010 11,255 17,196 Dec 26, 2015 #5 Hayo mashavu soon yatafunika macho!
pierre tall JF-Expert Member Nov 5, 2013 4,130 3,504 Dec 26, 2015 #6 Hapo wazazi wanaona sifa...mtoto moyo unadundia kwenye shingo
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,604 752,013 Dec 26, 2015 Thread starter #7 Mshuza2 said: Hayo mashavu soon yatafunika macho! Click to expand... pierre tall said: Hapo wazazi wanaona sifa...mtoto moyo unadundia kwenye shingo Click to expand... Mwishowe atakuwa kama funza
Mshuza2 said: Hayo mashavu soon yatafunika macho! Click to expand... pierre tall said: Hapo wazazi wanaona sifa...mtoto moyo unadundia kwenye shingo Click to expand... Mwishowe atakuwa kama funza
balibabambonahi JF-Expert Member Apr 5, 2015 15,694 14,204 Dec 26, 2015 #8 yaani mwanangu ndo mnanamleta huku,God will punish you
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,604 752,013 Dec 26, 2015 Thread starter #10 balibabambonahi said: yaani mwanangu ndo mnanamleta huku,God will punish you Click to expand... Real One said: Kukibeba tu ni gym tosha Click to expand... akikua atafanana na afande kunya kunya
balibabambonahi said: yaani mwanangu ndo mnanamleta huku,God will punish you Click to expand... Real One said: Kukibeba tu ni gym tosha Click to expand... akikua atafanana na afande kunya kunya
mkwepu jr JF-Expert Member Apr 20, 2014 558 1,024 Dec 26, 2015 #11 Kafanana na muheshimiwa fulan hivi
misnomer JF-Expert Member Apr 13, 2011 202 69 Dec 26, 2015 #13 mshana jr said: View attachment 312993 Click to expand... Who knows - anaweza akaja kuwa mjeshi
funzadume JF-Expert Member Jan 28, 2010 13,621 21,355 Dec 27, 2015 #15 mshana jr said: Mwishowe atakuwa kama funza Click to expand... Nitake radhi ha ha ha
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,604 752,013 Dec 27, 2015 Thread starter #16 funzadume said: Nitake radhi ha ha ha Click to expand... Hahaha sikumaanisha funzadume lakini Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 299,604 752,013 Dec 27, 2015 Thread starter #17 funzadume said: Nitake radhi ha ha ha Click to expand... Hahaha sikumaanisha funzadume lakini Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 76,019 159,772 Dec 27, 2015 #18 huyo mtoto mi namjua ni mcheza sumo mjapani mweusi