nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,692
- 14,072
Ni biashara ya duka genge. mwanzoni mauzo yalikuwa mazuri kidogo kidogo mauzo yakashuka sana....USHAURI...kwenye mazingira hayo bwashee si kwamba umelogwa...
Bali wewe mwenyewe umegeuza ofisi yako kuwa kijiwe cha bodaboda....mtu akitaka kuja dukani kwako anajiuliza mara mbili manake..wahuni wamelizonga duka na husikiliza kila mteja anachohitaji...kwa mfano nipimie mchele nusu....pembeni kuna bodaboda wambeya wanasikiliza..