Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Huyu kichwa maji Mwijaku na huo upara wake kama ugali wa moto anaendelea kujibaraguza tu hapa! Yani anaendelea kutia hasira sana.
NDugu zangu uchaguzi umekwisha na sasa tuijenge nchi yetu najuwa tuna hasira, chuki, tunamaumivu ila tusamehane, Tulipokesea sisi mtusamehe na tuijenge nchi yetu Ilove Tanzania I love my people