GE2025 Mwijaku: Nikipita kwenye ubunge, sikosi nafasi ya unaibu waziri wa Katiba na Sheria

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria.

Kwanini Katiba na Sheria na sio Sanaa aliyosomea?. Hapo tu nimedisqualify.
 
Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria.

View attachment 3400116

Huyu anayebaka na kulawiti watoto wa chuo na kusambaza picha za ngono na kesi za kutosha kortini ila zimepigwa chini kwa sababu ya uchawa wake kwa Samia. Awe waziri? Alijuaje atakuwa waziri? Ila sishangai serikali yenyewe imeoza na rais mwenyewe ndiyo wa ovyo, mama wa udaku na mipasho.
 
Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria.

View attachment 3400116

Nimejikuta nikicheka kijinga sana
 
Mtangazaji na mtia nia ya ubunge Mwemba Burton (Mwijaku) amefunguka kuwa kwa elimu yake aliyonayo na endapo akapata bahati ya kuingia bungeni basi hawezi kukosa unaibu Wazari hususani Naibu wa Katiba na Sheria.

View attachment 3400116

Kweli siasa imelegezwa
 
Back
Top Bottom