and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,104
Mwamba kaporomosha ghorofa Kigamboni na bado endorsement za kutosha tofaut na PhD holder wengi nchini.
NB: Hongera Sana Mwijaku
NB: Hongera Sana Mwijaku
Si kila kilichopo mtandaoni ni cha uongo.
Mitandao ya kijamii isiwadanganye na kuwafanya vijana mkachanganyikiwa na kupoteza malengo yenu.
Msidanganywe na wanavyowawekea watu mitandaoni!