Mwiguru Nchemba ni zaidi ya Lowasa

acha matata

Senior Member
Jan 5, 2011
165
39
Nikiri kuwa mimi ni mwana-ccm niliyehama chama kwakutupa kadi kapuni baada ya kuona chama kimetekwa na mafisadi. Wapo wengi sana wanamna hiyo ninaowajua.

Pia nikiri kuwa mimi ni miongoni mwa watu waliotokea kumchukia Mwiguru Nchemba alipojitoa ufahamu na kusemekana kupanga mipango ovu juu ya vyama pinzani vya ccm hasa hasa CHADEMA.

Kwasiku za karibuni, Mwiguru amekuwa akijipambanua kwahoja nzito na zenye mashiko kwa umma. Hata hivyo, nimekuwa nikiendelea kuwa na mashaka.

Leo nikisikiliza hotuba yake na kuilinganisha na ya Lowasa, Nchemba ameendelea kuwa na hoja za mashiko kama kweli zikitekelezwa. Hoja kama za 1. Makao makuu kuhamia Dodoma; 2. Mbinu za kuinua viwanda vya ndani 3. Mbinu za kuongeza ajira; 4. Kurekebisha mifumo ya ajira kwenye utumishi ya umma;

Walio wengi wetu tulimsikia jana Mh. Ngoyae Lowasa; ambaye inasemekana watanzania wengi matumaini yao yako kwake (!!??). Binafsi sikupata ramani kamili na njia mbadala atakazotumia kuufikisha umma wa watanzania Kwenye nchi ya uchumi wa kati. Angalau nimeiona kwa Mwigulu Nchemba.

Napenda kujifunza kutoka kwa wenzangu.

Nawasilisha
 
Kwani yupo chama gani?
 
Mimi pia aisee. Naomba nianzishe group ya kumsaport

Likianza nitaarifu mkuu. Niko tayari. Ila pia tutafute njia yakumuuliza maswali ya moja kwa moja maana mimi ni result oriented hivyo nataka ni-support genuine person hata kama napingana na chama kwakiasi kikubwa
 
Kwa kweli leo nimewasikiliza Wasira na Nchemba kwa makini,ccm bado kuna watu wazuri wanaoyafahamu matatizo halisi ya mtanzania na hasa huyu kijana Nchemba,ameeleza matatizo ya taifa letu kwa undani kabisa.
Kinachonitia shaka ni hao waliokaa serikalini na katika chama kwa muda mrefu,hivi kweli watampitisha kuwa mgombea wa nafasi ya uraisi?
 
Well done Nchemba hutashinda ilaumeonyesha njia

Nadhani ni mapema kusema kuwa hatashinda. Kama kweli tumeona anaonyesha njia, tusimame nyuma yake. CC ya chama ina watu wenye busara na watasikiliza maoni ya wananchi. Wakisikiliza maoni yao wenyewe, pia watampa kura zao wenyewe huyo wanayeona onawafaa hadi zitoshe kumpa urais
 
since when?
 
Nikiri kuwa mimi ni mwana-ccm niliyehama chama kwakutupa kadi kapuni baada ya kuona chama kimetekwa na mafisadi. Wapo wengi sana wanamna hiyo ninaowajua.

Pia nikiri kuwa mimi ni miongoni mwa watu waliotokea kumchukia Mwiguru Nchemba alipojitoa ufahamu na kusemekana kupanga mipango ovu juu ya vyama pinzani vya ccm hasa hasa CHADEMA.

Kwasiku za karibuni, Mwiguru amekuwa akijipambanua kwahoja nzito na zenye mashiko kwa umma. Hata hivyo, nimekuwa nikiendelea kuwa na mashaka.

Leo nikisikiliza hotuba yake na kuilinganisha na ya Lowasa, Nchemba ameendelea kuwa na hoja za mashiko kama kweli zikitekelezwa. Hoja kama za 1. Makao makuu kuhamia Dodoma; 2. Mbinu za kuinua viwanda vya ndani 3. Mbinu za kuongeza ajira; 4. Kurekebisha mifumo ya ajira kwenye utumishi ya umma;

Walio wengi wetu tulimsikia jana Mh. Ngoyae Lowasa; ambaye inasemekana watanzania wengi matumaini yao yako kwake (!!??). Binafsi sikupata ramani kamili na njia mbadala atakazotumia kuufikisha umma wa watanzania Kwenye nchi ya uchumi wa kati. Angalau nimeiona kwa Mwigulu Nchemba.

Napenda kujifunza kutoka kwa wenzangu.

Nawasilisha
......Nyambafuuu!! Mtu kaiba jina la mtu mwingine na hadi leo analitumia bila ya aibu, hii inamaanisha kuwa huyu jamaa ni mwizi, kigeugeu na haaminiki mpaka ameamua kujikataa mwenyewe.

Kiumbe wa aina hii ndo tumpe nchi, kweli Watanzania tutaingia kwenye rekodi za dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuwa na wendawazimu wengi wanaoruhusiwa kupiga kura.

Labda kama unamaanisha jamaa ni zaidi ya Lowasa kwa wizi japokuwa ndani ya CCM hakuna kiongozi asiekuwa mwizi ila wanazidiana.
 
Back
Top Bottom