Mwigulu Usijisahau Ukaisahau Iramba

Mwigulu Usijisahau Ukaisahau Iramba

hio videoconfesencing itawafaa watu walio na usasa zaidi,labda kidogo pale bomani au kiomboi ila bondeni tulya hatuyataki,kwani tulimchagua via teleconferencing?tulimchagua videoconferencing?,no!tulimchagua manually na yeye aje kututembelea,manually
Ahahahaha asante sna kaz anayosema bana tatizo la watanzania sisi huwa tuna tabia ya kuongea kwa unyenyekevu kisa wazir bas ye anajiona mtume ghafla inabidi kusema kwa macho makavu unajua tumekupa ubunge wa jimbo letu na sio ukawe wazir sasa chagua moja unataka uwazir au ubunge tuambie kama unaona uwazir unakubana sna achana nao huo auna maslai na jimbo ubaki kua mbunge tu ili uweze kuwepo jimboni
 
harudi kufanya nini wakati ameshapata kura?? subirini 2020 hatarudi kuwaomba tena
2020,sio mbali!isinge kuwa ile Hukumu ya Watu Kuto Kuruhisiwa Ndani ya Mita 200,na Mwigulu Kutumia Magari ya Halmashauri Kuingiza Maboksi Yaliyo Kuwa na Kura Zilizo Tikiwa Iramba Tungekuwa Tunaongea Mengine Hapa!
Hapa Tunashauri Na Bado Tunaonekana Hatufahi
 
Ahahahaha asante sna kaz anayosema bana tatizo la watanzania sisi huwa tuna tabia ya kuongea kwa unyenyekevu kisa wazir bas ye anajiona mtume ghafla inabidi kusema kwa macho makavu unajua tumekupa ubunge wa jimbo letu na sio ukawe wazir sasa chagua moja unataka uwazir au ubunge tuambie kama unaona uwazir unakubana sna achana nao huo auna maslai na jimbo ubaki kua mbunge tu ili uweze kuwepo jimboni
Mwigulu ni Wa Iramba Kwanza Halafu Tanzania Baadae!Aje Ni Haki Kutusikiliza!Vijana Wenyewe Wa Siku Hawadanganyiki Muda Mrefu Kama Wazee!Wazee Wanaimba Hapa Kazi Tu,Vijana Wanasema Ayo Maigizo!
 
hivi kuna mwaka ambao Mwigulu alisaidia iramba , zaidi ya kuchochea vurugu zilizosababisha mauaji Ndago ?
 
ana fanya kazi kwa kinyongo,wizara aliyopewa haikuwa ya ndoto zake:wizara ya fedha ndio aliitaka!ila hayatuhusu wa uku kata ya tulya ,ambayo changamoto zetu kubwa ni maji,afya,barabara una uvuvi katika ziwa kitangiri
Vipi biashara zenu za ujugu na vindege zinaendelea? Nilimsikia anasema atawapa mikopo wanavikundi vya wauza ujugu

Wizara ya fedha ilimshinda makontena yalikuwa yanatoroshwa kama wanavyotoroshwa wale wadada wa Kona Bar
 
Niko Hapa Tulya Ndani ya Tembe Langu Nikipunga Upepo huku Nikiliangalia Ziwa Kitangiri Kwa Mbali!
Pole na Majukumu ya Uwaziri na Ubunge Wako.

Nimekuandikia Hapa Ili Kuwafikishia Wana Tulya na Iramba Nzima Kero Zetu:

a)Umejisahau sana hata kututembelea umeacha!

b)Hata Diwani Wako Wa Hapa Tulya Haji Uku Kwao Bambaraga,Akija Katani Pale Mesi,Usalimie Makada Wenzie na Kurudi Zake Kiomboi,na Tangu Aupate Udiwani Hajatimiza Hata ya Ahadi Yoyote Ile

c)Umeme Hatuuöni,Kumbuka Uliahidi Kuuvuta Umeme Toka Shelui Mpaka Manyara Kupitia:Shelui-Mgongo-Mingela-Tulya-Kidaru-Mwanga,ila tunazishukuru juhudi zako 2010-2015,Umeme Ulifika Pale Mgongo,vipi Tulya Tunaupata Lini?

d)Uboreshaji wa Barabara ya Shelui-Mgongo-Mingela-Tulya-Kidaru!Tunashukuru Barabara Ina Changalawe Kutoka Shelui Mpaka Mgongo,Vipi Vipande Vilivyo Baki?

e)Uraisi Unakufanya Utusahau!Tunajua Una Ndoto za Kugombea Uraisi Come 2025,Lakini Je Ndio Utusahau Hivyo? Je Kura Zetu Hutozitaka 2025?

f)Uwe Makini na Jesica Kishoa,Huyu Mama Alikosa Dola Tu Kukugalagaza 2015 na Ana Sumu Kali Sana,Huwezi Sehemu Zote Alizopita Ulishinda Kimtandao,Labda Kidogo Kule Ambako Hakupita Kwa Sababu ya Kunyonyesha!Uwe Makini Huyu ni Mfupi Kikimo ila Ni Giant wa Hoja!Mbaya Zaidi CHADEMA kwa Kujua Hivyo Wakampa Ubunge:Apate Jukwaa la Kukuvagaa na Pia Apate Uhuru wa Kutamba Iramba Nzima

g)Njoo Uwabane Madiwani Badala ya Kuwaacha Wakilipulipua Mambo kwa Elimu za Kuunga Unga

h)Kama Una Mpango wa Kurudi Iramba na Bungeni 2020 Kama Mbunge Rudi Tuijenge Iramba,

i)Bungeni Mbona Hututetei?Upo Kimya,Vipi?

j)Usidanganyike na Upepo wa Magufuli na Katazo la Majaliwa Kuwabania Upinzani Kufanya Mikutano,Wana Nöndo za Mapungufu yako na Bosi,Siku Wakipata Upenyo Wakanena Sijui Mtaji wako Wakisiasa Utabaki na Shs Ngapi?Omba Pia Bunge Lisiwe Tu Live Lizimwe Kabisa!Yule Kishoa Atakufunika!

Niishie hapa,karibu tunywe magae makanta Madelu uku tukisubiria nyama ya punda ikichomwa!
Eti ndani ya Tembe, hujui hata kudanganya!!!
 
Vipi biashara zenu za ujugu na vindege zinaendelea? Nilimsikia anasema atawapa mikopo wanavikundi vya wauza ujugu

Wizara ya fedha ilimshinda makontena yalikuwa yanatoroshwa kama wanavyotoroshwa wale wadada wa Kona Bar
mkuu hio ahadi nimesahau kuiweka hapo juu,ila aliihaidi na bado hajaitekeleza,bado tunaisubiria kwa hamu
 
Mwigulu kwa sasa ni jabali la siasa Tanzania,Iramba magharibi ni jimbo lake,atalijenga tu.
mkuu loth,unacho kisema wewe sasa,sicho alicho kisema wakati ule wa kampeni!Ujabari wake wa Kisiasa Tumeujenga Kwa Kuunganisha Kokoto Zetu Na Kuziunganisha Mpaka Sasa Unaliona Sasa,Mwigulu is Iramba and Vice Versa Is Very True!
 
~~~~>Mwigulu akiwa raisi wa Tanzania nahamia Somalia ama Syria...

~~~~>Huyu jamaa mlipaswa kumpiga chini mwaka Jana.... Ni Kiazi kilichooza.
ahahaha,mkuu somalia mbali nenda hata rwanda
 
~~~~>Mwigulu akiwa raisi wa Tanzania nahamia Somalia ama Syria...

~~~~>Huyu jamaa mlipaswa kumpiga chini mwaka Jana.... Ni Kiazi kilichooza.
mkuu huyu jamaa angepigwa chini bila ubishi kama asingeingiza mabox ya kura ambayo alishajiwekea tiki. Yani huyu alijichagua mwenyewe hakuchaguliwa na wana Iramba
 
Niko Hapa Tulya Ndani ya Tembe Langu Nikipunga Upepo huku Nikiliangalia Ziwa Kitangiri Kwa Mbali!
Pole na Majukumu ya Uwaziri na Ubunge Wako.

Nimekuandikia Hapa Ili Kuwafikishia Wana Tulya na Iramba Nzima Kero Zetu:

a)Umejisahau sana hata kututembelea umeacha!

b)Hata Diwani Wako Wa Hapa Tulya Haji Uku Kwao Bambaraga,Akija Katani Pale Mesi,Usalimie Makada Wenzie na Kurudi Zake Kiomboi,na Tangu Aupate Udiwani Hajatimiza Hata ya Ahadi Yoyote Ile

c)Umeme Hatuuöni,Kumbuka Uliahidi Kuuvuta Umeme Toka Shelui Mpaka Manyara Kupitia:Shelui-Mgongo-Mingela-Tulya-Kidaru-Mwanga,ila tunazishukuru juhudi zako 2010-2015,Umeme Ulifika Pale Mgongo,vipi Tulya Tunaupata Lini?

d)Uboreshaji wa Barabara ya Shelui-Mgongo-Mingela-Tulya-Kidaru!Tunashukuru Barabara Ina Changalawe Kutoka Shelui Mpaka Mgongo,Vipi Vipande Vilivyo Baki?

e)Uraisi Unakufanya Utusahau!Tunajua Una Ndoto za Kugombea Uraisi Come 2025,Lakini Je Ndio Utusahau Hivyo? Je Kura Zetu Hutozitaka 2025?

f)Uwe Makini na Jesica Kishoa,Huyu Mama Alikosa Dola Tu Kukugalagaza 2015 na Ana Sumu Kali Sana,Huwezi Sehemu Zote Alizopita Ulishinda Kimtandao,Labda Kidogo Kule Ambako Hakupita Kwa Sababu ya Kunyonyesha!Uwe Makini Huyu ni Mfupi Kikimo ila Ni Giant wa Hoja!Mbaya Zaidi CHADEMA kwa Kujua Hivyo Wakampa Ubunge:Apate Jukwaa la Kukuvagaa na Pia Apate Uhuru wa Kutamba Iramba Nzima

g)Njoo Uwabane Madiwani Badala ya Kuwaacha Wakilipulipua Mambo kwa Elimu za Kuunga Unga

h)Kama Una Mpango wa Kurudi Iramba na Bungeni 2020 Kama Mbunge Rudi Tuijenge Iramba,

i)Bungeni Mbona Hututetei?Upo Kimya,Vipi?

j)Usidanganyike na Upepo wa Magufuli na Katazo la Majaliwa Kuwabania Upinzani Kufanya Mikutano,Wana Nöndo za Mapungufu yako na Bosi,Siku Wakipata Upenyo Wakanena Sijui Mtaji wako Wakisiasa Utabaki na Shs Ngapi?Omba Pia Bunge Lisiwe Tu Live Lizimwe Kabisa!Yule Kishoa Atakufunika!

Niishie hapa,karibu tunywe magae makanta Madelu uku tukisubiria nyama ya punda ikichomwa!
Sasa unamlilia nani na ulimchagua mwenyewe?
 
12321531_1583303475293156_2879918162930401151_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom