Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
- Thread starter
- #41
ndio maana nikaandika hapo juu kuwa:mwigulu alishinda kihali 2010 tu,ila 2015 dola ilimshindisha,ikichagizwa na ile hukumu ya mita 200,wananchi walipo lazimishwa kulala saa 11 jioni uku magari ya halmashauri ya iramba yakiingia na kutoka vituoni yakileta mabox yenye tiki,na kuyaondosha mengine,na mchezo aliucheza katika zile kata alizo pita yule dada mwenye sumu kali zaidi ya cobra Jesica Kishoamkuu huyu jamaa angepigwa chini bila ubishi kama asingeingiza mabox ya kura ambayo alishajiwekea tiki. Yani huyu alijichagua mwenyewe hakuchaguliwa na wana Iramba