Mwigulu yupo sahihi, mwananchi wameongopa. Henry hayupo mtwara na wala hana uhusiano na Gilbert. Mwananchi waombe radhiUnakumbuka tukio la Nape kutishiwa bastola na njagu ndugu Ally Mbuta anayeshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara ?
Ikumbuke kauli yako wakati ukiwa Waziri wa Mambo ya ndani...
Kwa nini usiwajibike?View attachment 2098437
Ukipenda sana sifa lazima utakuwa mwongo tuUnakumbuka tukio la Nape kutishiwa bastola na njagu ndugu Ally Mbuta anayeshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara ?
Ikumbuke kauli yako wakati ukiwa Waziri wa Mambo ya ndani...
Kwa nini usiwajibike?View attachment 2098437
Tatizo mnakurupuka sana ,subiri tu mwananchi waombe radhi ,taarifa hiyo ni ya uongoUnakumbuka tukio la Nape kutishiwa bastola na njagu ndugu Ally Mbuta anayeshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya mfanyabiashara wa madini mkoani Mtwara ?
Ikumbuke kauli yako wakati ukiwa Waziri wa Mambo ya ndani...
Kwa nini usiwajibike?View attachment 2098437
Hasa Watanzania Kwa sasa wakiongozwa na majaliwaWanasiasa ni watu waongo sana..Lairs than anyone else.