Mwigulu ule moto wa mwanzo umeishia wapi!?

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Nakumbuka wiki moja kabla ya kampeni za Arumeru Mashariki ulikuwa unatupa updates za mara kwa mara, nakumbuka tena ukasema umeshatembelea kata zote 17, kati ya hizo ni kata nne tu za barabarani zinazokusumbua. Lakini naona kadri uchaguzi unavyokaribia unazidi kujificha sana husikiki kabisa, what happened!
 
"CCM mahali pakula ila CDM ni nyumbani pazuri pakulala" by mkazi flani wa tengeru.
Kauli hizi za wameru zinamuumiza sana kichwa.
 
Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!!!!

Kauli mbiu inayowaumiza sana wanaCCM Arumeru ni hii, KULA CCM KULALA CDM! Kwa logic ile wanatakiwa wale sana hela za mafisadi CCM lakini siku ya kula wajue nyumbani ni wapi. Bila ajizi wala mawaa yoyote wanaua nyani 01.04.

Inauma kwa maana imewaondelea confidence ya ushindi kwa kutumia rushwa ya kanga na kofia.
 
Hapo kwenye red!!! Nina wasi wasi kuwa hii tarehe ya uchaguzi 01 April ambayo ni mashuhuri kama siku ya wajinga inaweza kutumiwa vibaya na vyombo vya habari, hasa magazeti kuwalaghai wapiga kura kwa kutoa vichwa vya habari pamoja na habari zenye utata. Nashauri wakati wa kampeni wapiga kura waonywe kuhusu uwezekano huu.
 
Alitokea hapa last week nikampa tshu tshu za uso sijamsikia tena JF, Arumeru, kwenye Magazeti wala kwenye Video labda anaumwa au kapata Mjane wa kuvinjari nae sijui mke wake anamatatizo gani huyu Jamaa mpaka apende kutafuta wake wa Masikini wa Tanzania sababu ya Pesa zake, namuachia Mungu aisee.
 
nakumbuka wiki moja kabla ya kampeni za arumeru mashariki ulikuwa unatupa updates za mara kwa mara, nakumbuka tena ukasema umeshatembelea kata zote 17, kati ya hizo ni kata nne tu za barabarani zinazokusumbua. Lakini naona kadri uchaguzi unavyokaribia unazidi kujificha sana husikiki kabisa, what happened!

kakosa wa kumuigunga.
 
Siasa Bwana, unaweza kutukana hata mamba kabla haujavuka mto. Mi nafikiri matokeo yatakuwa na mengi zaidi.
 
Nakumbuka wiki moja kabla ya kampeni za Arumeru Mashariki ulikuwa unatupa updates za mara kwa mara, nakumbuka tena ukasema umeshatembelea kata zote 17, kati ya hizo ni kata nne tu za barabarani zinazokusumbua. Lakini naona kadri uchaguzi unavyokaribia unazidi kujificha sana husikiki kabisa, what happened!

Mkuu hilo jina siyo lake mwiite lile jina lingine atajitokeza.kama kuna watu wapo kwenye hali mbaya na matokeo ya meru yanaweza wapoteza kwenye medali ya siasa basi ni mwigulu.
 
Akipata first aid atachangamka. Duhhh
 
Kwani huyu ndiye yule mbunge aliyesemwa jana na mchangiaji wa M4D kwamba anapenda sana akina dadapoa!
 
amegawa scafu watu wanafungia vidonda.

Mmmh kama wananchi wameona kuwa scalf hzo ni msaada kwao kiasi hicho basi ni dalili tosha ya kuona kuwa wanajaliwa kuliko vidonda vyao vingeendelea kubaki uchi na bacteria wazidi kuingia au scalf hzo wangeenda kuchambia hapo jombaa angeproove failure kubwa sana"
Mungu awasaidie wana Arumeru wamchague mtu ambaye kwa mtazamo wao wataona kuwa atawasaidia kwa maendeleo ya jimbo lao"
"Mungu Ibariki Afr,Tz,Ar na Arumeru na watu wake"
 
Kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh!!!!!!!

Kauli mbiu inayowaumiza sana wanaCCM Arumeru ni hii, KULA CCM KULALA CDM! Kwa logic ile wanatakiwa wale sana hela za mafisadi CCM lakini siku ya kula wajue nyumbani ni wapi. Bila ajizi wala mawaa yoyote wanaua nyani 01.04.

Inauma kwa maana imewaondelea confidence ya ushindi kwa kutumia rushwa ya kanga na kofia.
Kichwa lazima kiwaume maana hawajui kilicho ndani ya wapiga kura hata kama watawapa hela.
 
Ameona jinsi mzee mzima Mkapa alivyozimwa na Vincent, yeye akawa mpole watu wasije wakakumbushia ya mke wa ustaadh kule Igunga
 
Bingwa wa kuchukua wake za makada wenzake bado hajaibua nini kama igunga
 
Ameona jinsi mzee mzima Mkapa alivyozimwa na Vincent, yeye akawa mpole watu wasije wakakumbushia ya mke wa ustaadh kule Igunga
Jana kwenye fund raising ya M4C kuna mchangiaji toka jimboni kwake akasema Iramba Magharibi hawana mbunge bali wana mzinzi.
 
Nilimpenda yule mkaka manake alisema nimetumwa na watu wa Iramba kuchangia sh.... Ili tuje kupata mbunge manake kwenye jimbo letu hatuna mbunge tuna 'MZINZI'...
 
Nakumbuka wiki moja kabla ya kampeni za Arumeru Mashariki ulikuwa unatupa updates za mara kwa mara, nakumbuka tena ukasema umeshatembelea kata zote 17, kati ya hizo ni kata nne tu za barabarani zinazokusumbua. Lakini naona kadri uchaguzi unavyokaribia unazidi kujificha sana husikiki kabisa, what happened!

Majibu yatapatikana baada ya matokeo ambapo tutajua nani alikuwa anatulisha matango mwitu na nani cha ukweli.
 
Back
Top Bottom